HESABU kitu cha ajabu

Umenichekesha Ulipo sema Kila semester uka sup😁,
Chuo ni Kusoma upepo wa mkufunzi bas ukitaka Kusoma Kama upo advance utaishia kuwa disappointed
 
Hahahah rights n responsibilities mbona freshy tu😎
 
Nimekumbuka maisha ya wakati tuko darasani Lecturer aliyekuwa anatufundisha course ya abstract algebra na yule wa course ya topology, walinifanya niishi kama mtawa, nilikuwa ninajifungia ndani ninakokotoa hadi kichwa kinawaka moto.

Nikisogeza shingo nipumue kidogo najikuta niko kwenye Fourier series au triple integral nako unaona mapicha hadi kuoga unahisi kama unapoteza muda.
 
Yale mahesabu yamesumbua sana enzi wati wanasoma hata vitabu ni vya ngama, ila siku hizi mengine ukienda Youtube ukiona yalivyoelezewa kwa urahisi unaweza kucheka tulivyoteseka nayo.
 
Enzi zetu ni A,B,C,D na F. Ulijitahidi sana hongera. 😊
Wewe kipindi cha ndalichako wlaikuwa wanahangaika, wakaweka E, nilipomaliza tu six E ikatolewa wakaweka merit na demerit sijui! Ilikuwa ni vituko vya BRN 😆
 
Umeona eeh, wanaongelea sijui calculus we unaijua kwani?

Sijui inawasaidia nini kwa sasa🫢
Najulia wapi sasa nimezoea kulipia bidhaa uku nikiwa tayari najua ni kiasi gani natakiwa kurejeshewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…