Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Bujibuji, Oct 22, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Hapa ni kwa uchache tu

  [​IMG]

  HERUFI A
  Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.

  HERUFI B
  Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.

  HERUFI C
  Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano.

  HERUFI D
  Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo.

  HERUFI E
  Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu.

  HERUFI F
  Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi.

  HERUFI G
  Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu.

  HERUFI H
  Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi.

  HERUFI I
  Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.

  HERUFI J
  Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo.

  HERUFI K
  Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha.

  HERUFI L
  Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara.

  HERUFI M
  Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika.

  HERUFI N
  Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana.

  HERUFI O
  Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia.

  HERUFI P
  Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu.

  HERUFI Q
  Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana.

  HERUFI R
  Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani.

  HERUFI S
  Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa.

  HERUFI T
  Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika.

  HERUFI U
  Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi.

  HERUFI V
  Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika.

  HERUFI W
  Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari.

  HERUFI X
  Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu.

  HERUFI Y
  Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha.

  HERUFI Z
  Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo,


  Je na jina lako lina maana???

   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Humble & Popular with all types of people
   
 3. sister

  sister JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  mmh kwa herufi zangu kama kuna ka ukweli fulani hivi.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hiyo J nimeipenda !
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mphamvu Daniel, I make people larf, so do I am intelligent as well.
   
 6. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  S: Cute......Am I?
   
 7. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  actually kinachofanyika hapo ni kucheza na lugha ili kumridhisha YEYOTE atakayesoma. Ujanja huu ndio unatumika na watabiri wa nyota.
  Kwa wakati wako fanya homework ndogo tu ya kulinganisha maana za maneno utakuta yote mle mle, ili mradi hukosi chako.
   
 8. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nina majina matatu , la nyumbani, la shuleni/kazini, la kijijini,

  so nishike maana ya herufi ipi ?!

  urongo siamini, ni kama vile unakwenda kwa mganga.
   
 9. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  very true, ni kama vile unakwenda kwa mganga!
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,463
  Trophy Points: 280
  (T).......I am so lucky that God make me, me.
   
 11. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  N na Y ndo zangu herufi. Kweli kabisa
   
 12. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Caring..i like that..imenipatia..
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Dah.......kwangu mimi inakataa kabisa!
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  am i silly?
  Kesho mtasema ni dyke
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahaha........labda we ni Sirionka!! lol
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona mie nna sifa zote?
   
 17. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  N.. Caring, thats whatsuppp
   
 18. d

  domiki4h Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sureeeeeeeeeeee
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Na watani zangu wamakonde nao wanaingia kwenye mchanganuo huu,maana wao kila wanapohamia wana jina jipya,hapa ataitwa Chuma,akihama anakuwa Kikombe,Nchumali Shoka,Karatasi,Pato,Ndenge n.k....
   
 20. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,357
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Arushaone =A.
  A=HOT... Naunguza watu?
  SHEIKH YAHAYA HUSSEIN (RIP), YOU LEFT YOUR HERITAGE TO Bujibuji w/o tell us?
   
Loading...