Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

Status
Not open for further replies.
Ndg ZZ Kabwe,

Asante sana kwa kutupa furaha na amani kwa mananeno machache yenye ujumbe mzito. Hakika ni faraja kwetu wote wapenda mabadiliko hasa wana-CHADEMA, nakuomba sana ujitahidi kujitambua nafasi yako uliyo nayo hasa katika kuhakikisha ustawi wa CHADEMA ambacho hakika ni chama mbadala wetu tunaonyonywa na na kuibiwa tena kwa jeuri na serikali ya kikoloni ya CCM.

Jitahidi kuepusha rapsha rapsha katika chama na sasa uungane na wenzako kuimarisha M4C na mengineyo, penye utata ebu ongea na wenzako vizuri kama kiongozi ukijua kuwa nao na binadamu na wote mnaongoza mapambano kwa pamoja. Ni kweli kaka yetu Zitto mioyo ya wengi hasa vijana uliiumiza sana lakini sasa ni kweli tumeukubali ustaarab wako wa kukiri kutukwaza na kuomba msamaha hadharani lakini naomba ujue kwamba bado unahitaji kututhibitishia kiutendaji ili tuweze kurejesha imani yetu kwako kivitendo pia bila kusitasita ili yasiwe maneno tu.

Mwisho nakuomba utusamehe na sisi pia maana peenye manunguniko pana kujibizana na kufokeana, hivyo kuna wakati na sisi tulikukosea na kukukwaza, UTUSAMEHE KAKAETU. Bila shaka unajua mtu akikuamini halafu akaona kama unamsaliti hulalamika na kunungunika sana.

Hongera na asante kwa muhtasari wa kazi za 2012 na ufafanuzi wa mikakati ya 2013 - TUKO PAMOJA.
 
Mie binafsi siwajibiki kukusamehe kwa sababu kimsingi hukunikosea badala yake matendo na maneno yako yalinitia uhakika na nguvu zaidi kwamba ukombozi umekaribia ingawa hautakuwa rahisi kama wengi wanavyojidanganya, na kwamba katika harakati hizi wengi watajikwaa na kurudi nyuma, wengine hata tusiotegemea watatusaliti wengine kwa uoga na wengine kwa malipo ya vipande thelathini na huenda wengine tukamwaga damu yetu kwa ukombozi wa taifa letu!

Vyovyote itakavyo kuwa this job will be done by all means kwa msaada wa Mungu nikiwa hai au nimekufa, with you or without you or any one else.

HERI YA MWAKA 2013!
 
Acha roho mbaya!!!!! nini maana ya msamaha wewe binadamu??!!,bado saa moja tu watu waingie kwenye mwaka mpya,unatakiwa uchafu wote uuache huku kwenye mwaka wa zamani,hata wewe msamehe Ritz na hao wenzake wote hata kama walikuudhi!!!!

Wewe ni mtumishi wa Lumumba baada ya Zitto kurudia njia ya haki mnaanza kuchoka .Mlidhani ndiyo mnaimaliza Chadema .Mwacheni Zitto apumzike sasa aanze kazi .
 
Matendo yako mbele ya jamii ndo yatakusamehe, (ushauri wang kwako usipende kujiinua subiri watu wanasemaje ukifanikiwa ktk hilo utafika mbali)
 
Heri ya mwaka mpya pia Mhe Zitto
Tupambane yapo mengi sana haswa kuinua hali za wananchi ambazo bado ni duni sana na suala la mfumuko wa bei ambao unazidi kupaaa na deni la taifa linalozidi kuongezeka ilhali wananchi hatujui zinaishia wapi n
 
Last edited by a moderator:
Zitto, binafsi nilitegemea hili kutoka kwako, na mtu yyte anayekujua hatashangazwa na hili kabisa.................BTW.......nakutakia heri ya mwaka mpya.
 
Wewe ni mtumishi wa Lumumba baada ya Zitto kurudia njia ya haki mnaanza kuchoka .Mlidhani ndiyo mnaimaliza Chadema .Mwacheni Zitto apumzike sasa aanze kazi .

Hebu ikague Post ya Zitto halafu angalia comment za watu humu kisha ujitizame kuanzia kwenye kisigino hadi utosni uone kama unafa kweli kuendelea humu ama ukalale!!!!!!!!
 
Kila laheri. Sijawahi kuudhiwa, ila ukweli sikuamini. Nasubiri nikuone singida na manyara kwenye m4c kama ulivyoahidi wakati ulipo bamwa kuhusu ushiriki wako.

HAPPY NEW YEAR 2 ALL!
 
Yawezekana kwa sababu wewe umesema sio kwa kauli yangu,lakini kama unataka iwe na si mimi na mtu mwingine anataka hivyo basi na iwe kama utakavyo ama uonavyo!!

Kwa maana wakati wadau wanamkanya Zitto wewe ulikuwa kimbelembele sana kutetea, kumbe mwenyewe alijua kama kawakosea, leo kaomba radhi. Unasemaje kuhusu pumba zako za kutetea uasi, wewe sio rafiki mzuri
 
Acha roho mbaya!!!!! nini maana ya msamaha wewe binadamu??!!,bado saa moja tu watu waingie kwenye mwaka mpya,unatakiwa uchafu wote uuache huku kwenye mwaka wa zamani,hata wewe msamehe Ritz na hao wenzake wote hata kama walikuudhi!!!!

Kaka katika vitu ambavyo nashukuru Mungu ni uwezo wa kusamehe haraka sana! Sina tatizo na Ritz. But mind you, kusameheana haina maana ya kuwa ndio tuache au tuone aibu kukosoana na kukumbushana! Tuendelee kukosoana, kurekebishana, kufundishana, kubishana kwa hoja, nk, na kwa wakati huo wote tukisamaheana tunapokwaruzana.

Heri ya Mwaka Mpya!!
 
Zitto, binafsi nilitegemea hili kutoka kwako, na mtu yyte anayekujua hatashangazwa na hili kabisa. naipenda hii spirit yako.......................nakutakia heri ya mwaka mpya.

Nikweli uyasemayo na kwa mtu muungwana maneno yake yamejitosheleza,pili samahani mwalimu,Naomba uni-PM nikwambie jambo samahani lakini.
 
Kaka katika vitu ambavyo nashukuru Mungu ni uwezo wa kusamehe haraka sana! Sina tatizo na Ritz. But mind you, kusameheana haina maana ya kuwa ndio tuache au tuone aibu kukosoana na kukumbushana! Tuendelee kukosoana, kurekebishana, kufundishana, kubishana kwa hoja, nk, na kwa wakati huo wote tukisamaheana tunapokwaruzana.

Heri ya Mwaka Mpya!!

Ahsante na wewe pia.Lakini jambo la kwanza ni kumsamehe ili uonekane umesamehe then hayo mengine yatakuja tu taratibu tena waweza kuta yanaingia bila hata wewe kutarajia na majibu yake unayapata smoothly.pamoja sana Mkuu.
 
Zitto
Mie kwa kweli i admire you what people want from you ni kujiunga na Makamanda wenzio katika kuikomboa Tanzania usijitenge na wenzio ndio maana unaonekana Msalit, bado tuna imani na wewe ila take care hao ulionao karibu WANAKUHARIBIA ile influency uliyokuwa nayo kwa wananchi kwa kukubali kununuliwa kwa vitu vidogo ,Wanadamu wakikuinua hata Mungu pia atakuinua lakini wakikushusha hata Mungu pia atakushusha Please Zzk una kitu kwa Watanzania muda ukifika mbona itakuja yenyewe? Bado umri wako unaruhusu acha presha kiongozi wangu ila tu USIUE PANYA WETU PLEAWE,MAY GOD BLESS U
 
Muhimu kuliko yote ni kwamba Kwa njia moja ama nyingine nitakuwa nimewakera, kuwaudhi au kuwakatisha tamaa. Mimi ni binaadam, sijakamilika. Naomba radhi Kwa mapungufu yangu yote. Zitto
Zitto, a pice of advice...If you've pinned your reputation on your ability to do a job, whatever the job, right, then the failure is still going to stick to you. Plus, you'll have lost the trust of the people around you, especially the ones who ended up paying for your mistakes, whether by taking the blame or cleaning up the mess. Or, in the worst case, you'll have distracted enough attention that the mess doesn't get cleaned up at all.

Admitting your fault puts you one step closer to dealing with it, and can often be the first step towards a successful turn-around. At the least, though, it shows that you're someone with integrity and courage, even in the face of disastrous consequences. Dont ever try to dodge the bullet...the problem with dodging the bullet is that the bullet is still flying, and still needs to be dealt with - if you dodge it, then it will probably hit someone else!

And, if the worst came to the worst, by taking full responsibility for your mistakes and acting appropriately, you set yourself on a path to failing successfully by learning what there is to learn and moving forward with grace and purpose. Here are a few pointers about ‘fessing up and dealing with your mistakes:

  • If you've made a promise and failed to keep it, put yourself in the other party's shoes and see how things look from there. How would you feel? What would your response be if you were them? And what action would satisfy you?
  • Realize that your mistakes might affect many more people than just you, and recognize the pain you've caused.
  • Even if your failure came about because someone let you down, you're ultimately responsible for the projects under your authority.
  • Few actions come without any consequences at all; be prepared to embrace whatever befalls you as a result of the mistakes you've made.
  • Have a clear idea of what went wrong and how you can fix it - and how you can avoid it in the future.
  • Don't act phony and don't play the martyr. Show honest emotion which is the first step to rebuilding the trust lost.
  • Dont go to great lengths to make up for your mistakes - or to hide them - when a simple "I'm sorry" would do the job, and cause a lot fewer hard feelings.
None of these tips will prevent the worst from happening - you may still lose the trust, or the friendship. But you'll have done so with dignity, instead of disgrace - allowing you to walk away with your head held high. Zitto, always remember that better has no end, no limit and no finishing line. Happy New Year!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom