Heri ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Joined
Apr 15, 2025
Posts
91
Reaction score
174
IMG-20260112-WA0040.jpg
 
Mapinduzi ya Zanzibar, ila 9 Decemba eti uhuru wa Tanzania Bara.Nini ngumu kusema Uhuru wa Tanganyika. Nyerere kweli alikuwa mbinafsi. Yote haya kisa awe Rais wa JMT.
 
Mnasherekea mapinduzi na kupongezana bila aibu
huku Tanganyika siku ya uhuru mkawafungia raia ndani
pimbi nyie!
 
Mapinduzi ya Zanzibar yanawasaidia nini Machawa mliotukuka nyie!

Kazi yenu ni Kuhakikisha Watanganyika wanakuwa na Afya Bora siyo kuwa machawa!

SHAME ON YOU
 
Mapinduzi ya Zanzibar, ila 9 Decemba eti uhuru wa Tanzania Bara.Nini ngumu kusema Uhuru wa Tanganyika. Nyerere kweli alikuwa mbinafsi. Yote haya kisa awe Rais wa JMT.
Inashangaza mtu ambaye alikuwa anaonekana smart kauza jina la nchi yake
 
Nini ngumu kusema Uhuru wa Tanganyika. Nyerere kweli alikuwa mbinafsi. Yote haya kisa awe Rais wa JMT.
Tanganyika aliona ni Jina la [Wakoloni] na alikua halitaki ndio maana akatengeneza Tanzania Bara, huo ulikua mtazamo tu mfano Karume aliwaambia viongozi wa Simba kabla ya kuitwa Simba ilikua inaitwa Sunderland akawaambia hilo ni jina la kikoloni kwanini isiitwe Simba jina la Africa ndio timu ikabadirishwa jina ikaitwa Simba lakini huyo huyo Karume alikubari vipengele vyote vya Nyerere isipokua vipengele kadhaa kwanza jina la Zanzibar lisibadirishwe liwe vile vile pili Zanzibar iwe Nchi huru yenye katiba yake na rais wake tatu bank ya Zanzibar ile [PBZ] haiusiani na masuala ya Muungano ila Bank KUU ya Tanganyika [BOT] inahusiana na Masuala ya Muungano, Nyerere alikua anakitaka Kisiwa kimkakati akaingia [KING] akachonga mchongo Karume atie saini [aiuze] Zanzibar kwa Tanganyika Karume alipoletewa makarabrasha ya kusaini yenye Kingereza tupu hakua anajua kusoma wala kuandika Kingereza isipokua Mwanasheria wake tu ndio aliekua anajua na alipotewa asaini Mwanasheria wake hakuwepo kwa hio alipoletewa na kuambiwa saini hapa na hapa na hapa akawa anasaini tu bila kusoma na kuelewa anachosaini ni kitu gani, mchezo ukaishia hapo Kisiwa kikawa kimenunuliwa hivyo yaan
 
Kisiwa kimenuliliwa how?Zanzibar ilibaki Zanzibar. Tanganyika ndo ilinunuliwa.
 
Hahaha kuelewa hapo jicho lako moja inabidi liwe linaona makengeza na jicho lingine liwe linaona sawasawa..
 
Kwa yaliyopo sasa,Tanganyika ndo ilitiwa mfukoni. Anaecheka mwishoni ndo kacheka sana.
 
Back
Top Bottom