Heri ya Kuzaliwa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe

Happy birthday Mh Mbowe. Umefanya mazito kujenga upinzani. Hii ni alama ambayo hakuna wa kukunyanganya! Nakutakia heri Kamanda mkuu ...
 
Kamandaaaaaaa!Hahahahahaaa
Kamanda anayekwepa kukamatwa na polisi lakini anawaamrisha kuruta wake walete chokochoko dhidi ya polisi afu wakamatwe ili aende mahakamani kuonyesha unafiki. Kikubwa zaidi ni kutimiza maslahi yao binafsi kupitia Jukwaa la Siasa.

Baada ya salam izo apo juu.......Happy Ubatizo Day
 
Back
Top Bottom