Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Vijana wanamkubali sana kamanda angalia likes kwenye ukurasa wa fb eatv
Napia kapigwa butwaa watanzania tulivyowajinga kuendelea kuongozwa na CCMNasikia Babu seya kapigwa butwaa kusikia bado Mbowe ni mwenye kiti wa chadema.
Simon Mathias kipara mtoto ya kanda ya ziwa mgombea uenyekiti UVCCM na TISSmuua vyama vya wenzie ili ibaki chadema pekee wapi mbatia!
Mh Kitwanga upohuwa ananikosha kwenye uchaguzi wa wabunge viti maalum tu.Utasikia devotha minja kutoka morogoro, jesca kishoa kutoka singida, anna komu kutoka sijui wapi ni full kujaza wachaga tu.Achen kuhadaa wabongo wasiojielewa na mtaendelea kupukutika! hadi 2030 chadema itakufa rasmi
[emoji87]Kamanda wa mstari wa mbele. Ni kwa amri yake maandalizi ya ukuta yalifanyika na ni kwa busara zake aliahirisha civil disobedience.
Ishi zaidi Mbowe!!!
Nimekuelewa mkuuSimon Mathias kipara mtoto ya kanda ya ziwa mgombea uenyekiti UVCCM na TISS
Aliyeweka mtoto wa dada ikulu na mwenyekiti wa chama tu ni nani mwenye saccos ?Mwenye SACCOS
Hahaha! Jibu murua kabisaNapia kapigwa butwaa watanzania tulivyowajinga kuendelea kuongozwa na CCM