Heri ya J. Kikwete kuliko ya Magufuli

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,457
27,104
NACTE walitoa Announcement Ya Kuwa Watafungua Tena Dirisha la Kupokea Maombi ya Udahili Kwa Vyuo Vikuu Wiki Ya Mwisho Ya Mwezi wa Sita! Lakini Mpaka Leo hii tarehe 28/06/2016 hakuna Dalili yoyote Ya Kuanza Kupokea Maombi.

HESLB nao Walitoa GuideBook na Ku-announce Kuwa Wataanza Kupokea Maombi Ya Wanaotaka Kupatiwa Mikopo ya Masomo Vyuo Vikuu Siku ya tarehe 27/06/2016! Lakini Mpaka Leo tarehe 20/06/2016 hawajaanza Kupokea Maombi.

Ni wazi Kuwa Utawala huu ni Wa Wababaishaji Ambao Kwao "Maneno ni Mengi Kuliko Vitendo"!!

Ukiuliza Utaambiwa "Ndiyo Tunatengeneza Mambo Sawa"! Utatoaje Tangazo la Kuanza Huduma Wakati Ndio Kwanza Unataka Kutengeneza sasa mfumo wa Kutoa Huduma??

Hivi Mh. ulilolijua wewe kulitekeleza kwa Vitendo ni ile Kuandaa Bajeti ya Bilioni 8 kukarabati Ofisi yako tu??
 
Mkuu tulia kwanza, mambo yanakuja. Kama unavigezo haina haja ya kupanic nakuanza kukosea kosea.
 
Mkuu Unajua Watu Tuliacha Safari Zetu na Shuhuli Zetu Kusubiri tarehe iliyotolewa Na Bodi, Sasa inakuwa Wanatukwamisha Kwa Uongo Wao.
Bora Walikuwa Waseme Tu Kuwa Hawajawa tayari Kuliko Kubeep.
 
Sasa Wenye Bodi Wameshataka Kupokea Maombi, Kwahiyo Wale Wenye Sifa Jiripueni Sasa.
 
*RASMI BODI YA MIKOPO IMEANZA KUPOKEA MAOMBI KWA FORM 6 NA WENGINEO,BONYEZA HAPO CHINI KUFANYA APPLICATION*
Ushauri wangu :

*SOMA KWA UMAKINI GUIDELINES BEFORE APPLYING*
Click here to apply>>>>> http://www.https://jamii.app/JFUserGuide/2016/06/bonyeza-hapa-kuomba-mkopo-bodi-ya.html?m=1
 
NACTE walitoa Announcement Ya Kuwa Watafungua Tena Dirisha la Kupokea Maombi ya Udahili Kwa Vyuo Vikuu Wiki Ya Mwisho Ya Mwezi wa Sita! Lakini Mpaka Leo hii tarehe 28/06/2016 hakuna Dalili yoyote Ya Kuanza Kupokea Maombi.

HESLB nao Walitoa GuideBook na Ku-announce Kuwa Wataanza Kupokea Maombi Ya Wanaotaka Kupatiwa Mikopo ya Masomo Vyuo Vikuu Siku ya tarehe 27/06/2016! Lakini Mpaka Leo tarehe 20/06/2016 hawajaanza Kupokea Maombi.

Ni wazi Kuwa Utawala huu ni Wa Wababaishaji Ambao Kwao "Maneno ni Mengi Kuliko Vitendo"!!

Ukiuliza Utaambiwa "Ndiyo Tunatengeneza Mambo Sawa"! Utatoaje Tangazo la Kuanza Huduma Wakati Ndio Kwanza Unataka Kutengeneza sasa mfumo wa Kutoa Huduma??

Hivi Mh. ulilolijua wewe kulitekeleza kwa Vitendo ni ile Kuandaa Bajeti ya Bilioni 8 kukarabati Ofisi yako tu??
its too bwashehe acha tuendelee kuisoma namba mpaka tulie ichi nini
 
Yaani mi binafsi namkumbuka kikwete sana,nina degree lkn for today inaonekana useless kwa kitaa had watoto hawataki kusoma wakiniangalia nini nafanya now maswali ayeshi juu yngu kila pakikucha,nownauza duka ,nawala hatima siijui juu ya ajira za huyu jamaaa maana toka zipigwe danadana ,tamaa nimepata na naona kabisa ni asilimia chache sana kwa facult nlosoma ndo watapata ajira lkn ingekuwa enzi ya jk,wote tungebebwa,yaani naomba kama tumrejeshe jk,lkn haiwezekani,turudie uchaguz napo haiwezekan by ze way ,ni kumuomba mungu life lisonge tu.lkn uteuz haishi tz tena wengine hata form six tu,hata chuo hawajaenda.
 
Mkuu Unajua Watu Tuliacha Safari Zetu na Shuhuli Zetu Kusubiri tarehe iliyotolewa Na Bodi, Sasa inakuwa Wanatukwamisha Kwa Uongo Wao.
Bora Walikuwa Waseme Tu Kuwa Hawajawa tayari Kuliko Kubeep.
Kijana lakini una vigezo vya kupata mkopo?
Basi Hao IT wao itakua ni wazembe Sana Kushindwa Kukamilisha Kazi yao Kulingana Na Tarehe waliyoitangaza.
 
NACTE walitoa Announcement Ya Kuwa Watafungua Tena Dirisha la Kupokea Maombi ya Udahili Kwa Vyuo Vikuu Wiki Ya Mwisho Ya Mwezi wa Sita! Lakini Mpaka Leo hii tarehe 28/06/2016 hakuna Dalili yoyote Ya Kuanza Kupokea Maombi.

HESLB nao Walitoa GuideBook na Ku-announce Kuwa Wataanza Kupokea Maombi Ya Wanaotaka Kupatiwa Mikopo ya Masomo Vyuo Vikuu Siku ya tarehe 27/06/2016! Lakini Mpaka Leo tarehe 20/06/2016 hawajaanza Kupokea Maombi.

Ni wazi Kuwa Utawala huu ni Wa Wababaishaji Ambao Kwao "Maneno ni Mengi Kuliko Vitendo"!!

Ukiuliza Utaambiwa "Ndiyo Tunatengeneza Mambo Sawa"! Utatoaje Tangazo la Kuanza Huduma Wakati Ndio Kwanza Unataka Kutengeneza sasa mfumo wa Kutoa Huduma??

Hivi Mh. ulilolijua wewe kulitekeleza kwa Vitendo ni ile Kuandaa Bajeti ya Bilioni 8 kukarabati Ofisi yako tu??
Mkuu nime ku pm naomba unijibu inbox. Msaada wako pleas
 
Kijana utakosa udahili kwa sababu ya uelewa mdogo. Kwani huyo Kikwete alikuwa anafanya kazi NACTE/HESLB? Magufuli kaja na watumishi wapya katika hizo taasisi? Suala la kuanzisha mchakato wa udahili linamhusu vipi rais? Watu wasioweza kupembua mambo kwa uyakinifu wanapaswa kuishia VETA, vyuo vya Elimu ya Juu sio mahali pao.
 
This reminds me of what Marcus Valerius Martialis, a Roman poet, once said:

"Si post fata venit gloria non propero", meaning that if glory comes after death, I'm not in a hurry (if one must die to be recognised, I can wait)!

I am sure Magufuli can wait, as well!
 
Back
Top Bottom