Heri ya Eid al-Fitr, furaha na amani iwe nanyi 🌙⭐

Heri ya Eid al-Fitr, furaha na amani iwe nanyi 🌙⭐

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amesema mwezi haukuandama hivyo Eid al-Fitr ni Machi 21, 2026.
20260319_195831.jpg
 
Kiongozi wenu kasema 30 ni jmosi mwezi haujaatoka.
Nyie walafi kesho mnafungua,ina maana hata hatuelewani huko.
Nyie hata mwaka ujao mle Eid hakuna anayejali.
Komaeni tu
 
Eid Mubarak 🌙✨
View attachment 3560106

Nawatakia nyote sikukuu njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele.

Mwenyezi Mungu azikubali ibada zenu zote, awajaalie afya njema na mafanikio katika kila jambo mlipangalo.

Tukumbuke kushirikiana na kusaidiana, hasa wale wenye uhitaji, ili furaha ya Eid iwafikie wote 🤍

Eid hii iwe mwanzo wa neema mpya, upendo zaidi na mshikamano katika jamii zetu.
Aamin
 
Back
Top Bottom