MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 714
- 1,137
Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake.
Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga sana wa siasa.
Taifa hili linakutegea sana kuwahudumia wananchi wa Ubungo kama DC wao. Kama kuna makosa uliyoyafanya ilikuwa kwa sababu ya ujana wako na nimapungufu ya kibinadam na endelea mbele.
Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi sana UVCCM na endelea kutoa mchango wako ka chama na UVCCM pale utakapo ona kuna haja ya kufanya hivyo. WE SHALL MISS YOU COMRADE