Hebu nipe trusted source kuhusu UNSC kupitisha No Fly Zone huko Libya. Na je UNSC waliiappoint NATO kuimplement hio decision?mkuu umeongelea swala lalibya ndo maana nkakwambia kwa swala hilo lilipelekwa mbele ya UNSC, na pale kula moja tu ya NO ya russia ingezuia resolution unafikiri kwann russia a china hawakupinga???