Here's why the Navy didn't shoot down the Russian fighter jets that buzzed by a US destroyer

Hao wamarekani wamefuata nini Baltic Sea?
watu hilo swali hawajiulizi,
aliyebaki na mentality za cold war ni marekani,ndo maana anazidi kuweka majeshi yake karibu na Mpaka wa russia.

Wakati vita baridi inaisha walikubaliana kuvunja Nato na Warsaw pact,
wakati warusi walivunja ,marekani na wenzake hawakuvunja NATO ;badala yake wakaanza kuzishawishi nchi zilizokuwa kambi ya mrusi kujiunga na NATO,

Kwa mtu mwenye akili lazima aone kuwa marekani bado walikuwa na nia ya kuivunjavunja russia,
unategemea Russia atakaa tu kama mjinga asiriact kweli
 
Kwa jinsi nilivyo observe the video through CNN ni kwamba pilot mrusi alikuwa na mawasiliano na destroyer hivyo ukiwaangalia wamarekani walijua kuwa haikuwa na madhara that's why wakatoka na kuisubilia ije waione kama si hivyo wamarekani wasingekuwa katk pose lile la kuitizama tuu ile ndege wangekuwa wako bize kuishusha down na hili lingefanyika miles away ukiiona mpaka imefka pale maanake they had identified each other tangia ilivyosomwa ktk radar ya destroyer
Mkuu USS Navy Donald Cook ilitoa radio communication kwa kurudia rudia tena kwa lugha ya kirusi na kiingereza kwa pilots wa SU-24 ila wao walipuuza na kuisogelea USS destroyer karibu kabisa.

Kwa observation za harakaharaka waliona zile ndege hazikuwa na mabomu . Ila ni kitendo cha kuspy ile destroyer pia huwenda walikuwa wanachunguza uwezo wa ndege zao kufanya electronic warfare , ambayo ni hatari kwa uss destroyer.

Kwa kitendo hiki urusi atajitapa kwa kuwa amefanya hivyo bila kudhurika na kufanikiwa kuichunguza hiyo destroyer. Tena ni uchokozi kwa kuwa destroyer ilikuwa kwenye international waters ambapo kuna uhuru wa kupita pasipo masharti yoyote.

USS Navy wameishia kusema kuwa ni unprofessional, wakati warusi wamefanya walichokuwa wanakitaka. Hizo ndege mbili za SU-24 zimekuwa equipped with electronic warfare and surveillance systems.
 
Wapumbavu sana Russia na Putin wao, there're desperate with their nuclear weapon, they try to find where they can use it!!! F**u**c*** e**m***!!!!! we don't want 3rd world war. Wajinga sana hawa.
 
n

ndio maana nchi nyingine haziruhusiwi kuwa na silaha kali na uchumi, mkubwa fikiri kama rusia,china,nchi za kiarabu na korea kaskazini wangekua na uwezo wa uchumi,kiteknolojia na kivita kama USA na Israel ingekua je? nafiki wangetoka na majeshi yao na kwenda kuteka nchi fulani na kuchukua wanachotaka.
Mkuu hivi kuna taifa linaloongoza kukalia nchi nyingine na kusambaratisha serikali halali za nchi nyingine kama Marekani?
Mfano angalia Syria, Iraq,Libya Afghanistan etc.. Usiongee kiushabiki ongea reality.

Unajua kuwa uvamizi wa Iraq haukubaliwa na UN lakini Bush alitoa amri na wakafanya hivyo hadi leo wapo Iraq na Iraq haitawaliki tena.

China wana uchumi mkubwa sana, pia wana nguvu kijeshi, wana nuclear weapons. Lakini ulisikia wamevamia taifa lingine kwa sababu yoyote ile hata kama ni ya kweli?

Hiyo Korea Kaskazini si ina nuclear weapons, ilishawahi kuzitumia na kuvamia nchi nyingine tangu ili taifa kujitangazia Uhuru wake? Ingawa halina uchumi imara.

Pia huwezi linganisha uchumi na uwezo wa kijeshi kati ya Israel na China na Urusi. Israel kaachwa mbali sana. Ila si unaona kila siku Israel inatangaza vita dhidi ya nchi nyingine za kiarabu na kuzikalia kimabavu si unaona Palestine, si unaona wameenda Syria nakuipora ardhi yake ya Golan heights.

Tumesikia urusi ikiivamia Georgia na kushutumiwa kusababisha machafuko Ukraine. Uvamizi wa urusi haulingani na wa marekani maana marekani anasafiri maelfu ya kilometers kuvamia ila urusi yeye analinda mipaka yake, na suala la kwenda Syria amealikwa na Assad ila marekani kaingia kwa nguvu na kuvunja sovereignty ya Syria. Bado anafanya insurgency kwa nchi zingine kwa mwavmvuli wa demokrasia, haki za binadamu na kuhalalisha uvamizi kwa kulinda raia kama alivyofanya Libya na anavyofanya sasa Syria.
 
hueleweki

Tusiwe na itikadi za kihisia, kinachofanywa na USA ni kukuacha ugombane na wananchi wako ukianza kuwaua anaingilia kati nakuchukua anachoona kinafaa, kwani akija kwako anatumia pesa pia, ktk nchi zote ulizotaja waliitwa na wananchi kuwasaidia zidi ya viongozi wezi na mafisadi waliojimilikisha mali za nchi hizo na kuwaua wananchi wanapowahoji hao viongozi, na china,urusi sera yao ni kuunga serekali yeyote iliyoko madarakani bila kujali inawaua wananchi wake au laa, wanachoaangalia ni mali wanazozipata,
Hakuna nchi yeyote yenye ushirika wa karibu kiuchumi na urusi au china wamefanikiwa, hata TZ haya ni matokeo ya urafiki wao wa kinafiki wakitudanganya kuwa ni wajamaa kumbe wao wameshabadilika ni mabepari, mfano wa karibu ni kwa mugabe!!. jaribu kufanya uchunguzi wa kina si kwenye mitandao sana utakuta Israel wako visuri sana kijeshi na kiteknologia wana vitu adimu hasa kiulinzi zaidi ambavyo wengine duniani hawana. Ni Vyema kama wananchi tu wakawaida tukafikiri zaidi jinsi viongozi hasa wakubwa na nchi zetu wanavyoenenda kwani kwa wizi wao unakuharibia hata wewe usiye na hatia, mfano serekali ikashindwa kuwaletea wananchi wa eneo lenye gesi na mafuta maendeleo kwa miaka 10, lakini viongozi wanaficha pesa kibao nje na wazungu wanajua kwani wanaficha kwenye bank zao, na wao wakaanza kuandamana na serikali ikaanza kuwaua na kuwaita mateja kama gadafi, wao wakaomba msaada Europer na USA watakua wamekosea?
 
vitu adimu,kama vipi kwa mfano?
 
Hebu toa vidhibitisho kuwa marekani anaalikwa na wananchi katika nchi zote alizozikalia kimabavu.... Je wananchi wanaweza kufanya hivyo unavyosema na ikakubalika kisheria za nchi na za kimataifa?

Ujanja wa marekani ni kuandaa vikundi vinavyopinga serikali halali yani wanafanya insurgency. Baada ya hapo wanavipatia silaha na kuvisaidia kiintelijensia na baadaye wanakuja moja kwa moja.
Mfano angalia walichofanya Libya. wametengeneza National Transitional Council (NTC) na kuisupport baada ya kuona serikali inawadhibiti Marekani wakasema serikali ya Libya inauwa raia hivyo wakajialalishia kuivamia Libya kwa kisingizio cha kulinda raia, kuisaidia NTC kufanya insurgency kwa kuweka No fly zone na kuwapatia taarifa za kijeshi na hatimaye wakafanikiwa kufanya insurgency.

Baada ya Libyan insurgency nini kinaendelea sasa zaidi ya kuuwana wao kwa wao? hiyo marekani haioni sasa raia wanavyokufa? Hivi kweli serikali halali inaangushwa kwa msaada wa marekani na NATO yake alafu unasema walialikwa na raia wa Libya? tena taifa linachezea sovereignty ya taifa lingine wewe unasema wamealikwa na raia?
 
Hebu toa vidhibitisho kuwa marekani anaalikwa na wananchi katika nchi zote alizozikalia..

labda kwakuwa watu wamekariri hvyo lakin mkuu issue ya libya kuna nchi kama italy,france na britain zilihusika sana pale hata sasa kuna pecial forces za uingereza na france zinaoperate kule,sema tu walitumia mwavuli wa NATO kuweka no fly zone,lakin mkuu issue ya kweka no fly zone pale libya ilipelekwa kwe UNSC ipigiwe kura na pale palikua na nchi kama russia na china ambazo zina veto huoni kama russia na china pia zilikua na nafasi kubwa ya kupinga no fly zone ya pale libya kwa kutumia veto zao?????mbona wameweza kufanya hvyo kuhusu syria walishindwaje kufanya hivyo kuinusuru libya????
 
Mkuu hivi kuna taifa linaloongoza kukalia nchi nyingine na kusambaratisha serikali halali za nchi nyingine kama Marekani?
Mfano angalia Syria, Iraq,Libya Afghanistan etc.. Usiongee kiushabiki ongea reality.

Unajua kuwa uvamizi wa Iraq haukubaliwa na UN lakini Bush alitoa amri na wakafanya hivyo hadi leo wapo Iraq na Iraq haitawaliki tena.

China wana uchumi mkubwa sana, pia wana nguvu kijeshi, wana nuclear weapons. Lakini ulisikia wamevamia taifa lingine kwa sababu yoyote ile hata kama ni ya kweli?

Hiyo Korea Kaskazini si ina nuclear weapons, ilishawahi kuzitumia na kuvamia nchi nyingine tangu ili taifa kujitangazia Uhuru wake? Ingawa halina uchumi imara.

Pia huwezi linganisha uchumi na uwezo wa kijeshi kati ya Israel na China na Urusi. Israel kaachwa mbali sana. Ila si unaona kila siku Israel inatangaza vita dhidi ya nchi nyingine za kiarabu na kuzikalia kimabavu si unaona Palestine, si unaona wameenda Syria nakuipora ardhi yake ya Golan heights.

Tumesikia urusi ikiivamia Georgia na kushutumiwa kusababisha machafuko Ukraine. Uvamizi wa urusi haulingani na wa marekani maana marekani anasafiri maelfu ya kilometers kuvamia ila urusi yeye analinda mipaka yake, na suala la kwenda Syria amealikwa na Assad ila marekani kaingia kwa nguvu na kuvunja sovereignty ya Syria. Bado anafanya insurgency kwa nchi zingine kwa mwavmvuli wa demokrasia, haki za binadamu na kuhalalisha uvamizi kwa kulinda raia kama alivyofanya Libya na anavyofanya sasa Syria.
utalindaje mipaka yako ndani ya nchi nyingine mkuu?maana russia aliivamia georgia wakati inaangaikakuwadhibiti wale jamaa wanaotaka kujitenga na kujiunga na russia na tumeshuhudia russia alivamia georgia kwa kisingizio cha kulinda russian speaking minorities na kuipiga georgia na kusababisha ebeo lake kujitenga hilo wewe unaliona ni sawa??mkuu mataifa makubwa yoe yako sawa sema tu hapa mmoja amekuwa na channels nyingi kuliko wenzie ndo mana kumekua na propaganda nyingi...we unafikiri russia angekua na economic might kama ya marekan ingekuwaje? kuna msemo kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake mkuu wewe unasema huoni china akivamia nchi nyingine?china aliichapa vietnam akatwaa visiwa walivyokua wanagombania,china ilipigana na india kudhibit eneo la mpka wanalogombania huo ndo ukomo wa nguvu za china hawez kuvamia visiwa wanavyogombania na japan kwakuwa anahitaji kujianda kisawasawa kuwavaa jamaa.....iko hivyo mkuu
 
labda kwakuwa watu wamekariri hvyo lakin mkuu issue ya libya kuna nchi kama italy,france na britain zilihusika sana pale hata sasa kuna pecial forces za uingereza na france zinaoperate kule,sema tu walitumia mwavuli wa NATO kuweka no fly zone,lakin mkuu issue ya kweka no fly zone pale libya ilipelekwa kwe UNSC ipigiwe kura na pale palikua na nchi kama russia na china ambazo zina veto huoni kama russia na china pia zilikua na nafasi kubwa ya kupinga no fly zone ya pale libya kwa kutumia veto zao?????mbona wameweza kufanya hvyo kuhusu syria walishindwaje kufanya hivyo kuinusuru libya????
Nikiitaja marekani kwenda huko Libya na mataifa mengine ninamaanisha merekani na washirika wake.

Kwahiyo unataka kusema UNSC iliiteuwa NATO kuimplement No Fly Zone huko Libya?

Lakini si unatambua kuwa marekani ni superpower? na anatumia ubabe wake kutimiza malengo yake. Na katika kutimiza matakwa yake haangalii UNSC wala jumuia ya kimataifa inasema nini, mfano mzuri ni ule uvamizi wa Iraq . Hapo hakuna uhalali wowote ule sema tuu unataka kujustfy American hegemony.
 
Mkuu USS Navy Donald Cook ilitoa radio communication kwa kurudia rudia tena kwa lugha ya kirusi na kiingereza kwa pilots wa SU-24 ila wao walipuuza na kuisogelea USS destroyer karibu kabisa.

Kwa observation za harakaharaka waliona zile ndege hazikuwa na mabomu . Ila ni kitendo cha kuspy ile destroyer pia huwenda walikuwa wanachunguza uwezo wa ndege zao kufanya electronic warfare , ambayo ni hatari kwa uss destroyer.

Kwa kitendo hiki urusi atajitapa kwa kuwa amefanya hivyo bila kudhurika na kufanikiwa kuichunguza hiyo destroyer. Tena ni uchokozi kwa kuwa destroyer ilikuwa kwenye international waters ambapo kuna uhuru wa kupita pasipo masharti yoyote.

USS Navy wameishia kusema kuwa ni unprofessional, wakati warusi wamefanya walichokuwa wanakitaka. Hizo ndege mbili za SU-24 zimekuwa equipped with electronic warfare and surveillance systems.
hayo ni mambo ya kawaida ya surveillance mkuu
 
labda kwakuwa watu wamekariri hvyo lakin mkuu issue ya libya kuna nchi kama italy,france na britain zilihusika sana pale hata sasa kuna pecial forces za uingereza na france zinaoperate kule,sema tu walitumia mwavuli wa NATO kuweka no fly zone,lakin mkuu issue ya kweka no fly zone pale libya ilipelekwa kwe UNSC ipigiwe kura na pale palikua na nchi kama russia na china ambazo zina veto huoni kama russia na china pia zilikua na nafasi kubwa ya kupinga no fly zone ya pale libya kwa kutumia veto zao?????mbona wameweza kufanya hvyo kuhusu syria walishindwaje kufanya hivyo kuinusuru libya????
ukiwafuatilia sana wazungu ni wahuni na wanacheza,na akili zetu
 
hao wazungu wote wana akili zao, miaka yote wanapiganisha wengine au wao wanawapiga wengine lakini wao hawapigani ! - maamuzi yao yanaenda kwa logic sio hisia - maslahi yao kwanza
 
Nikiitaja marekani kwenda huko Libya na mataifa mengine ninamaanisha merekani na washirika wake.

Kwahiyo unataka kusema UNSC iliiteuwa NATO kuimplement No Fly Zone huko Libya?

Lakini si unatambua kuwa marekani ni superpower? na anatumia ubabe wake kutimiza malengo yake. Na katika kutimiza matakwa yake haangalii UNSC wala jumuia ya kimataifa inasema nini, mfano mzuri ni ule uvamizi wa Iraq . Hapo hakuna uhalali wowote ule sema tuu unataka kujustfy American hegemony.
mkuu umeongelea swala lalibya ndo maana nkakwambia kwa swala hilo lilipelekwa mbele ya UNSC, na pale kula moja tu ya NO ya russia ingezuia resolution unafikiri kwann russia a china hawakupinga???
 
labda kwakuwa watu wamekariri hvyo lakin mkuu issue ya libya kuna nchi kama italy,france na britain zilihusika sana pale hata sasa kuna pecial forces za uingereza na france zinaoperate kule,sema tu walitumia mwavuli wa NATO kuweka no fly zone,lakin mkuu issue ya kweka no fly zone pale libya ilipelekwa kwe UNSC ipigiwe kura na pale palikua na nchi kama russia na china ambazo zina veto huoni kama russia na china pia zilikua na nafasi kubwa ya kupinga no fly zone ya pale libya kwa kutumia veto zao?????mbona wameweza kufanya hvyo kuhusu syria walishindwaje kufanya hivyo kuinusuru libya????
 
ukiwafuatilia sana wazungu ni wahuni na wanacheza,na akili zetu
mkuu nliwah watch documentary fulan hivi jamaa wanakwambiaUSA,RUSSIA& china huwa wanauziana kihuni hizi veto zao,Unaweza kuona NATO Waliisambaratisha yugoslavia ambae alikua mshirika wa karibu wa russia ila russia alikua mmoja wa nchi za mwanzo kuzitambua baadhi ya nchi zilizojitenga kutoka yugoslavia sasa mda mwingne haya mambo ana headache tu,af zaman hawa jamaa walikua ndo dili zao kuleta fujo angalia hata walivyoigawa korea
 
Tusiwe na itikadi za kihisia, kinachofanywa na USA ni kukuacha ugombane na wananchi wako ukianza kuwaua anaingilia kati nakuchukua anachoona kinafaa, kwani akija kwako anatumia pesa pia, ktk nchi zote ulizotaja waliitwa na wananchi kuwasaidia zidi ya viongozi wezi na mafisadi waliojimilikisha mali za nchi hizo na kuwaua wananchi wanapowahoji hao viongozi, na china,urusi sera yao ni kuunga serekali yeyote iliyoko madarakani bila kujali inawaua wananchi wake au laa, wanachoaangalia ni mali wanazozipata,
Hakuna nchi yeyote yenye ushirika wa karibu kiuchumi na urusi au china wamefanikiwa, hata TZ haya ni matokeo ya urafiki wao wa kinafiki wakitudanganya kuwa ni wajamaa kumbe wao wameshabadilika ni mabepari, mfano wa karibu ni kwa mugabe!!. jaribu kufanya uchunguzi wa kina si kwenye mitandao sana utakuta Israel wako visuri sana kijeshi na kiteknologia wana vitu adimu hasa kiulinzi zaidi ambavyo wengine duniani hawana. Ni Vyema kama wananchi tu wakawaida tukafikiri zaidi jinsi viongozi hasa wakubwa na nchi zetu wanavyoenenda kwani kwa wizi wao unakuharibia hata wewe usiye na hatia, mfano serekali ikashindwa kuwaletea wananchi wa eneo lenye gesi na mafuta maendeleo kwa miaka 10, lakini viongozi wanaficha pesa kibao nje na wazungu wanajua kwani wanaficha kwenye bank zao, na wao wakaanza kuandamana na serikali ikaanza kuwaua na kuwaita mateja kama gadafi, wao wakaomba msaada Europer na USA watakua wamekosea?
jamaa hua wanaangaia sehemu zenye madhaifu kuingia
 
Back
Top Bottom