Here's why the Navy didn't shoot down the Russian fighter jets that buzzed by a US destroyer

Here's why the Navy didn't shoot down the Russian fighter jets that buzzed by a US destroyer

Tabia hii ya Russia imekua common sasa, si mara ya kwanza ni very unprofessional, just imagine kwa ukaribu ule viongozi wa ile destroyer ya marekani wangekua na akili kama za warusi Waka shoot down ile fighter jet ingekuaje?

Maana ile meli ilikua armed na makombora na systems mbali mbali, ni busara tu ya captain wa meli kuwaaambia wenzie waachane na hiyo ndege maana haikua imebeba makombora kwenye mabawa yake hivyo waipotezee tu

Sasa ndege ingeangushwa ndipo ungesikia kelele za Russia, Ingawa urusi imekanusha Madai ya marekani lakini hii ni kawaida ya urusi kufanya hivyo Na kukanusha,
Hizo ni old tricks
1460808753447.jpg

Unaongelea ukaribu huu?
 
unaambiwa walikuwa kwenye international waters..not american waters,ndo maana huyo kiongoz akakwambia we are not at war with russia...
we unafkir wamarekani wana akili za kijinga na za kujionyesha na kutaka umaarufu wa kijinga kama warusi?...
sawa sawa na wewe mtu mzima unapita barabarani afu kajitu kanatoka uko kwake anaanza kukwambia usipite apo kwi hiyo barabara..afu mbele za watu...
Apo utakwa mjanja ukimwacha abwabwaje mwishoni atatuli mwenyewe coz alitaka tuu kutafta umaarufu cheap
Russia haruhusiwi kwenye international waters?
 
Ni kwenye international waters na sio mlangoni kwa Russia, najua umekuja na ushabiki Bila Hoja

Kwa mazingira Yale unayodai waliweka rehani maisha ya pilot wao, ndege ya Russia haikua na silaha, hivyo ilikwenda mikono mitupu, sasa unaendaje kujihami mikono mitupu tena dhidi ya meli giant iliyosheheni silaha mbali mbali?
Huo ni utoto msemo wa John kerry
Hawapiti hivi hivi bila silaha , watumia electronic warfare... system za meli zilikuwa jammed..... Hii ni incident ya pili kwa fighters za Urusi kucheza na meli Za USA...
 
hizo system zilizokuwa katika meli ndo mrusi alikuwa anachukua picha na kufanya electronic warfare.
Ni ajabu sana mmarekani kwanini aliogopa kuzidungua,maana zimeondoka na itelligence data hapo,
tukio limefanywa kwa siku mbili na wamarekani hawajareact,mpaka hata shughuli zao walisitisha,
sijui wanaogopa nini,wanazidiwa hata wale jamaa wa uturuki
Systems za meli zilikuwa jammed, wasingeweza ku react.... Electronic system Jamming...
Siku hizi ni new trend in modern warfare..
 
Russia siyo wajinga kama mnavyofikiria na mnacholalamikia hakina hoja ya msingi. Bombers za Russia kila siku zikiwa kwenye patrol wanapo scramble na ndege zao hizo bomber. US mara ya Kwanza alifurushwa na technology ya halima ya juu ya jamming ya kirusi sasa ameenda huko karekebisha karudi tena ku test tena wamempa la kati tena, mbona Nato members wanapo scramble bombers za Russia kwenye international airspace yeye alalamiki

MTAZAMO
US amekuwa so disappointed na failure of AEGIS SYSTEM to save purpose na hii system US alikuwa anategemea sana kupiga hela kutoka nchi za NATO sasa anaona kinachofanywa na mrusi ni kumwaribia deals zake na vilevile kutazusha mtafaruku nani ya US political system kwa sababu watu watahoji hela ya walipa kodi na mkumbuke F35 imeshaonesha failure na hii AEGIS system ndio air defence backbone in US army na hii kitu US inawaumiza sana
Kuna wachambuzi na mashabiki.... Kaka umeonyesha ni njisi gani upo current, USA ameenda purposely ku test latest electronic warfare systems zake, Urusi kwa kujiamini nae kaenda kuonyesha ujuzi wa ku jam......
Pamoja na Makombola kuwepo kwenye meli, USA alikuwa hana uwezo wa kurusha hata moja, si ajabu hata hizo fighter hakuweza kuzi dictate... Jamming haihusiani na Makombola tu, mpaka radio systems...
 
US hawakua wajinga walifanya calculation ifuatayo...SU 24 fighter jets zilikua mbili na ma pilots wanne...US Destroyer warship ilikua na wanamaji wasiopungua 150 onboard ....US destroyer ilikua inauwezo wa kuzitungua hizo ndege mbili na kuua mapilot wote lakini isingepita ata dakika 10 hiyo destroyer ingekua imezamishwa na kuua wanamaji zaidi ya 100...ikumbukwe Russia ana anti ship missile ana submarine zenye uwezo wakufire torpedo na kizamisha
 
Pale RUSSIA huwez jua nyambiz zake submarine zilikua underwater hasa zile kilo class submarine ambazo hazitoi kelele na very difficult to track by using sonar ndo maana zinaitwa stealth submarine labda zilikua maeneo ayo so walita waguswe wamalize....pia ikumbukwe jamming tech ambayo Russia anayo huenda ali jam electronic weapon syestem ya destroyer wakabaki hawana la kufanya hivyo kuishia kutazama tu kwan policy ya US ni shoot first Ask later hivyo wengeweza kifanya lolote lakini wameishia kulalamika tu
 
Hua nacheka sana,ikitokea kuna uzi unahusu Marekani na Russia....!!

Watu hawajui hata kutumia Bastola tu,lakini wanavyoeleza uwezo wa kijeshi wa marekani na Russia ni hatari sana....!!

Ndo maana bosi wetu hua anatuambia kwenye vikao,ukitaka ku refresh mind baada ya kazi nzito ya kutwa nzima,ingia JF..

Kuna watu wanaichambua Pentagon ukiwauliza wanauwezo upi wa kijeshi,kijasusi, wanasema tumesoma mitandaoni....!!
 
US hawakua wajinga walifanya calculation ifuatayo...SU 24 fighter jets zilikua mbili na ma pilots wanne...US Destroyer warship ilikua na wanamaji wasiopungua 150 onboard ....US destroyer ilikua inauwezo wa kuzitungua hizo ndege mbili na kuua mapilot wote lakini isingepita ata dakika 10 hiyo destroyer ingekua imezamishwa na kuua wanamaji zaidi ya 100...ikumbukwe Russia ana anti ship missile ana submarine zenye uwezo wakufire torpedo na kizamisha
Upo vizuri nimekuelewa
 
“Destroyed” US Warship Donald Cook In Baltic Sea Refuses Russian Offer Of Help

A new classified Ministry of Defense (MoD) report circulating in the Kremlin today states that for the second time in two years, “advanced” Federation “electronic warfare defences” have crippled the Arleigh Burke-class guided missile destroyer USS Donald Cook (DDG-75)—and when Baltic Fleet “special forces elements” offered assistance to tow them back to their Polish port, the Americans refused to respond.

rrbb2.jpg

According to this report, in April, 2014, the USS Donald Cook, while performing a mission in the Black Sea, substantially violated Federation “territorial integrity” causing President Putin to authorize an “electronic warfare defense” attack against it that was so devastating this top-line warship was left adrift—and once towed back to its Romanian port, its American sailors were so demoralized 27 of them filed immediate letters of resignation from the US Navy.

rrbb3.jpg

One year later, in May 2015, this report continues, and again in the Black Sea, the Arleigh Burke-class guided-missile destroyer USS Ross (DDG-71) substantially violated Federation “territorial integrity” causing President Putin, once again, to authorize an “electronic warfare defense” attack against it, but when confronted with the fate that befell the USS Donald Cook the year prior it retreated—causing one Russian top-level Naval Officer to state: “It seems that the Americans did not forget the April 2014 incident when one Su-24 actually shut down all equipment on the new USS Donald Cook American destroyer with anti-missile system elements.”

In March 2015 too, this report notes, Federation submarine naval forces attacked with their “advanced” electronic weapons the American aircraft carrier USS Theodore Roosevelt (CVN-71) causing it to flee to the coast of Britain where it remained for weeks to the amazement of the public until it was repaired and able to get under sail again—and as we had told about in our report titled Terrified US Aircraft Carrier Flees From Russian Subs To UK Safety.

klk1.jpg

This weeks “attack encounter” of Federation forces with the USS Donald Cook, this report details, began when this American warship began an “aggressive combat maneuver” against the Baltic Sea Fleet port in Kaliningrad, to which President Putin authorized another immediate “electronic warfare defense” against.

Russia’s “electronic warfare defense” measures, as we’ve previously reported on, are based on what is called “magrav technology” (Western code name code name “Khibiny”) developed by Iranian-born nuclear engineer Mehran Keshe (called “a modern day Nikola Tesla”) who in a 2012 personal letter to President Obama warned: “The aircraft carriers of the US will become nothing but floating bathtubs if our Magravs technology is used effectively, and the runways full of F16s and 18s and so on will be nothing but runway museums of iron birds, as these craft will not be able to fly if their electronic systems are once touched by Magravs space technology. These crafts and battleships would have to be rewired from A to Z before they could ever operate again.”

rrbb4.jpg

And according to MoD experts in this report, this past Monday’s (11 April) “attack/assault” upon the Federations “territorial integrity” by the USS Donald Cook can be considered as a test by the Americans of their “rewired” warship—but which after Federation Sukhoi Su-24 aircraft deployed their “electronic warfare defense” against it this craft “died a quick electronic death”.

On Tuesday (12 April), this report continues, a Baltic Sea Fleet KA-27 Helix helicopter made (at least) 7 flights over the deck of the disabled USS Donald Cook hailing its crew offering “towing assistance”, but when “small caliper arms” were pointed towards it, Federation commanders ordered two SU-24 jets to make a further 11 “close-range and low altitude passes” over this warship—after which no further “American belligerence” was observed.

This report concludes by noting the statement of White House spokesman Josh Earnest who said “This incident ... is entirely inconsistent with the professional norms of militaries operating in proximity to each other in international water and international airspace”—to which the MoD replied, “Frankly speaking, [we] do not understand the reason for such a painful reaction of our American colleagues. The principle of freedom of navigation for the US destroyer, which is staying in close proximity to a Russian naval base in the Baltic Sea, does [not] at all not cancel the principle of freedom of flight for Russian aircraft.”
 
Hebu nipe trusted source kuhusu UNSC kupitisha No Fly Zone huko Libya. Na je UNSC waliiappoint NATO kuimplement hio decision?
toka lin UNSC huappoint nchi kwenda kufanya mission ya kijeshi au hata kulinda amani? ni nchi husika huandaa resolution na kupeleka UNSC kwa ajili ya kupata clearance ya kufanya hivyo mkuu,unsc inaweza kukubali ama kukataa,hata Tanzania,malawi na south africa walijitolea kwenda kuwatimua m23 pale congo chini ya jeshi la umoja wamataifa wala c UNSC iliwaapoint ni nchi zenyew zilijitolea kufanya hivyo....cha ajabu kwenye issue ya libya russia na china hawakupiga no vote ambayo ingezuia nato kuimpose no fly zone pale libya
 
hapa tumediscuss vingi ila tnasahau kwamba hakunaga mtu anaemtungua mwenzie kama wote wakiwa kwenye internationa water ama sea,kinachofanyoka mtu anakublock na unaweza kugeuza au unaweza subiria ukaendelea na safari yako,haya ndo yanafanyoka kwe anga na maji ya kimataifa,sa sijui kwann tunataka kuaminishana uhalali wa mmoja kumtungua ama kutomtungua mwenzake...maana haya mambo ya mtu kumblock mwenzake yanatokea mara nyingi tu sema kilicholeta mtafaruku hapa ni mmoja kumpitia mwenzake katika distance ambayo mmoja aliiona si salama vinginevyo hakukuwa na chochote vha ajabu
 
watu hilo swali hawajiulizi,
aliyebaki na mentality za cold war ni marekani,ndo maana anazidi kuweka majeshi yake karibu na Mpaka wa russia.

Wakati vita baridi inaisha walikubaliana kuvunja Nato na Warsaw pact,
wakati warusi walivunja ,marekani na wenzake hawakuvunja NATO ;badala yake wakaanza kuzishawishi nchi zilizokuwa kambi ya mrusi kujiunga na NATO,

Kwa mtu mwenye akili lazima aone kuwa marekani bado walikuwa na nia ya kuivunjavunja russia,
unategemea Russia atakaa tu kama mjinga asiriact kweli
Russia haina uwezo kwa US sio economically au kijeshi, pia wana military budget ndogo kuanzia researches. Kwenda Baltic sea ni kwamba kila Bahari ina international water na kuna sheria zake hasa linapokuja suala la kijeshi na uvuvi maeneo hayo.
 
Acha uongoo,nani alikwambia walifanya electronic warfare na ni nani alikwambia walikuwa wanachukuwa picha...we unafkir ile destroyer haina vifaa vya kuona capabililies za ivyo vi ndege uchwara vy aurusi?....ndo maana hata John kerry aliwadharau hadharani wakaonekana wajinga tuu....Huwazi kuwa World super power kwa mikwara mbuzi ya kijinga kama hiyo....You have to be better somewhere
Russia aliingia kwenya anga za turkey thats y hakuna aliyemlaumu kwa ku act...pale walikuwa lwenye international waters thats y us wakawa na busara...
Acha hiyo mara kwa mara bomber za russia zimekuwa zikifukuzwa na f-16 za U.S kule alaska zikiingia kwenya teritory za U.S,alafu wanawasindikiza na kuwaambia mmeingi kwenye anga zetu..Russia wanageuka na kusepa..
Siku zote u.s wamekuwa waki act honestly hata kama russia wameingia kwenye airspace yao..Thats how a super power should act...U.S hawana akili maji kama zako wewe Elungata na Putin wako
Mkuu hiyo kitu cha kawaida kumtest mpinzani kiuwezo hasa electronic warfare
 
Hapo sijakupata mkuu!!! ila ninamaanisha nidhamu ya kutumia uwezo wako zidi ya wengine, kama urusi,china na korea kaskazini wangekuwa na nguvu kama USA na Israel ingekua je?
Unachekesha sana hata uturuki imeizid israel.ya kwanza USA,Russia then china kijesh dunian
 
watu hilo swali hawajiulizi,
aliyebaki na mentality za cold war ni marekani,ndo maana anazidi kuweka majeshi yake karibu na Mpaka wa russia.

Wakati vita baridi inaisha walikubaliana kuvunja Nato na Warsaw pact,
wakati warusi walivunja ,marekani na wenzake hawakuvunja NATO ;badala yake wakaanza kuzishawishi nchi zilizokuwa kambi ya mrusi kujiunga na NATO,

Kwa mtu mwenye akili lazima aone kuwa marekani bado walikuwa na nia ya kuivunjavunja russia,
unategemea Russia atakaa tu kama mjinga asiriact kweli
Waambie mkuu ushabiki tu wa ki USA baby
 
toka lin UNSC huappoint nchi kwenda kufanya mission ya kijeshi au hata kulinda amani? ni nchi husika huandaa resolution na kupeleka UNSC kwa ajili ya kupata clearance ya kufanya hivyo mkuu,unsc inaweza kukubali ama kukataa,hata Tanzania,malawi na south africa walijitolea kwenda kuwatimua m23 pale congo chini ya jeshi la umoja wamataifa wala c UNSC iliwaapoint ni nchi zenyew zilijitolea kufanya hivyo....cha ajabu kwenye issue ya libya russia na china hawakupiga no vote ambayo ingezuia nato kuimpose no fly zone pale libya
Nimekupata mkuu.

Nimepitia hiyo UNSCR 73 kuangalia uhalali wa kufanya hivyo. Siwalaumu china and Russia Ku abstain from voting bali nawalaumu baadhi ya waafrika (non permanent members) kama Nigeria kupitisha hiyo resolution, ingawa hata kama wangekataa uamuzi usingebadilika ila wangeionyesha dunia kuwa hawakubaliani na kitendo cha uvamizi pia naipongeza Germany, India, Ku abstain.

Sasa hao permanent members wanaona hali ya Libya baada ya kumuangusha Gaddafi. Na wapo mbioni kurudi tena kwa kisingizio IS wanajiimarisha huko baada ya kukimbia kichapo huko Iraq and Syria.

P5 wanaangalia maslahi yao kuamua masuala ya dunia. kama member mmoja hata nufaika basi anapinga na kama wanakubaliana ujue kuna mgawanyo wa maslahi.

Tatizo la waafrika wanasubiri matatizo yao ya amuliwe na mataifa makubwa. Me naona hao P5 na mfumo wao wa UNSC unashindwa kuishirikisha afrika katika kutafuta njia za kutatua matatizo yake . Na ndiyo maana Mugabe alisema waafrika wanaena UN assembly kutalii tuu na kupoteza nauli zao tuu kwa kuwa mfumo wa UN unawatenga waafrika na kuwaamulia matatizo yao bila kuwashirikisha. Mugabe akasema wanataka reform kwenye UN na kuwapa waafrika viti viwili vya kudumu sivyo ataongoza mataifa ya afrika kujitoa kwenye mkataba wa Roma.
 
ni kweli mkuu na kwa jinc mfumo wa UNSC unawapa nguvu kubwa p5 kufanikisha dili zao nying ziwe nzuri au chafu...kuna documenyary flan nliwah kuangalia inaonyesha sometime p5 huwa wanapeana madili kwa kutumia veto zao yaan watu wanabstain ili draft yako ipite in return nawe una turn blind eye kwe issue flan inayowahusu
 
Pale RUSSIA huwez jua nyambiz zake submarine zilikua underwater hasa zile kilo class submarine ambazo hazitoi kelele na very difficult to track by using sonar ndo maana zinaitwa stealth submarine labda zilikua maeneo ayo so walita waguswe wamalize....pia ikumbukwe jamming tech ambayo Russia anayo huenda ali jam electronic weapon syestem ya destroyer wakabaki hawana la kufanya hivyo kuishia kutazama tu kwan policy ya US ni shoot first Ask later hivyo wengeweza kifanya lolote lakini wameishia kulalamika tu
mkuu hio policy ya shoot first ask later katika internationa waters,space iliwekwa lini na hao wamarekan?
 
Back
Top Bottom