Here's why the Navy didn't shoot down the Russian fighter jets that buzzed by a US destroyer

n

ndio maana nchi nyingine haziruhusiwi kuwa na silaha kali na uchumi, mkubwa fikiri kama rusia,china,nchi za kiarabu na korea kaskazini wangekua na uwezo wa uchumi,kiteknolojia na kivita kama USA na Israel ingekua je? nafiki wangetoka na majeshi yao na kwenda kuteka nchi fulani na kuchukua wanachotaka.
kweli bhana c umeona kabla ya WW2 USA,USSR,JAPAN NA GERMAN
 
n

ndio maana nchi nyingine haziruhusiwi kuwa na silaha kali na uchumi, mkubwa fikiri kama rusia,china,nchi za kiarabu na korea kaskazini wangekua na uwezo wa uchumi,kiteknolojia na kivita kama USA na Israel ingekua je? nafiki wangetoka na majeshi yao na kwenda kuteka nchi fulani na kuchukua wanachotaka.
Kwa hiyo russia,china ndio uwafananishe na Israeli???mkuu ukileta mada za kishabiki mada huwa zinaharibika Russia&China ni kuzilinganisha na,marekani sio huyo israel
 
Afu me siku zote namwonaga putin ana mawazo na propaganda za kizamani sana....Rais ukiwa mstaarabu na unajiheshimu huwezi ruhusu marubani wako wafanye ujinga kama ule...Sasa kwa mfano apo si wamedhalilika na kwa kaulin za John Kerry?...
jamaa alikua KGB nadhan labda anafikiri bado tuko enzi za cold war....ila wachambuzi wanasema wanajaribu kuwadestruct wananchi wao kutoka kwe economic hardship wanayoipitia kwe miaka hii
 
Kwa hiyo russia,china ndio uwafananishe na Israeli???mkuu ukileta mada za kishabiki mada huwa zinaharibika Russia&China ni kuzilinganisha na,marekani sio huyo israel
kuzilinganishaje mkuu?kama kijeshi ni russia&USA..china Hajafit category ya hao jamaa...kama kiuchumi labda china na USA...RUSSIA hapo anakaa mbali sana..kama kiteknolojia hapoa nafikiri USA,RUSSIA NA ISRAEL..hapo mzee wa kucopy na kupest nafikiri hafit
 
hizo system zilizokuwa katika meli ndo mrusi alikuwa anachukua picha na kufanya electronic warfare.
Ni ajabu sana mmarekani kwanini aliogopa kuzidungua,maana zimeondoka na itelligence data hapo,
tukio limefanywa kwa siku mbili na wamarekani hawajareact,mpaka hata shughuli zao walisitisha,
sijui wanaogopa nini,wanazidiwa hata wale jamaa wa uturuki
Acha uongoo,nani alikwambia walifanya electronic warfare na ni nani alikwambia walikuwa wanachukuwa picha...we unafkir ile destroyer haina vifaa vya kuona capabililies za ivyo vi ndege uchwara vy aurusi?....ndo maana hata John kerry aliwadharau hadharani wakaonekana wajinga tuu....Huwazi kuwa World super power kwa mikwara mbuzi ya kijinga kama hiyo....You have to be better somewhere
Russia aliingia kwenya anga za turkey thats y hakuna aliyemlaumu kwa ku act...pale walikuwa lwenye international waters thats y us wakawa na busara...
Acha hiyo mara kwa mara bomber za russia zimekuwa zikifukuzwa na f-16 za U.S kule alaska zikiingia kwenya teritory za U.S,alafu wanawasindikiza na kuwaambia mmeingi kwenye anga zetu..Russia wanageuka na kusepa..
Siku zote u.s wamekuwa waki act honestly hata kama russia wameingia kwenye airspace yao..Thats how a super power should act...U.S hawana akili maji kama zako wewe Elungata na Putin wako
 
mkuu hvyo ni vitu vya kawaida sana kwa mataifa makubwa..hata hizo destroyers kupatrol maeneo hayo kila cku huwa zingather signal za radar za maeneo hayo ni vitu vya kawaida sema tu licholalamikiwa c russia kupitisha ndege zao hapo au kuiba signal..issue ni kuwa ndege zilipita karibu sana na destroyer jambo ambalo ni hatari.......
 
hizo system zilizokuwa katika meli ndo mrusi alikuwa anachukua picha na kufanya electronic warfare.
Ni ajabu sana mmarekani kwanini aliogopa kuzidungua,maana zimeondoka na itelligence data hapo,
tukio limefanywa kwa siku mbili na wamarekani hawajareact,mpaka hata shughuli zao walisitisha,
sijui wanaogopa nini,wanazidiwa hata wale jamaa wa uturuki
Huenda jamaa walitaka wajue marekani ana makombora ya aina gani ili vita itakapoanza hapo baadae wajue namna ya kujizuia.
 
wamarekani waliwaradio na kuwaonya tena kwa kirusi na kurudia kwa kiingereza lakini zoezi liliendelea na pia kurudiwa kesho yake
mbona vitu kam hivyo ni kawaida mkuu surveillance na patrols mataifa yote wanafanya,kuscramble jets vitu vya kawaida sema hapa ambacho kimeleta concern ni jamaa kupita too close na destroyer basi ila vingine vyote kawida hata kama wangepita wiki nzima
 
Huenda jamaa walitaka wajue marekani ana makombora ya aina gani ili vita itakapoanza hapo baadae wajue namna ya kujizuia.
unafikiri kuna vita basi ya kupigana hawa jamaa....
 
Acha uongoo,nani alikwambia walifanya electronic warfare na ni nani alikwambia walikuwa wanachukuwa picha...we unafkir ile destroyer haina vifaa vya kuona capabililies za ivyo vi ndege uchwara vy aurusi?....ndo maana hata John kerry aliwadharau hadharani wakaonekana wajinga tuu....Huwazi kuwa World super power kwa mikwara mbuzi ya kijinga kama hiyo....You have to be better somewhere
Russia aliingia kwenya anga za turkey thats y hakuna aliyemlaumu kwa ku act...pale walikuwa lwenye international waters thats y us wakawa na busara...
Acha hiyo mara kwa mara bomber za russia zimekuwa zikifukuzwa na f-16 za U.S kule alaska zikiingia kwenya teritory za U.S,alafu wanawasindikiza na kuwaambia mmeingi kwenye anga zetu..Russia wanageuka na kusepa..
Siku zote u.s wamekuwa waki act honestly hata kama russia wameingia kwenye airspace yao..Thats how a super power should act...U.S hawana akili maji kama zako wewe Elungata na Putin wako
SU-24 zinazotumika Russia ziko na electronic warfare platform,
yes ile meli ina rada ya kuziona ndege kwa umbali wa mile 200.
Sasa wanachofanya warusi wanapobuzz,wanakuwa wanatest rada capabilities ya rada pamoja na kukusanya inteligence kuhusu silaha gani zimo melini mle,
karudi upya kusoma kisa kizima utaona kuwa siku ya pili yaani tarehe 12 april,licha ya hizo ndege ilikuwepo pia helcopter iliyokua ikichukua picha wakati ile ndege ya mrusi ikibuzz.
Ukweli ni kuwa ile ndege ilikua chambo tu na iwapo ingeshambuliwa zilikuwepo ndege zingine mbili za SU-24 ambazo zilikuwa tayari kujibu iwapo ile ndege ingeshambuliwa
 
Kwa hiyo russia,china ndio uwafananishe na Israeli???mkuu ukileta mada za kishabiki mada huwa zinaharibika Russia&China ni kuzilinganisha na,marekani sio huyo israel
Hapo sijakupata mkuu!!! ila ninamaanisha nidhamu ya kutumia uwezo wako zidi ya wengine, kama urusi,china na korea kaskazini wangekuwa na nguvu kama USA na Israel ingekua je?
 
Acha uongoo,nani alikwambia walifanya electronic warfare na ni nani alikwambia walikuwa wanachukuwa picha...we unafkir ile destroyer haina vifaa vya kuona capabililies za ivyo vi ndege uchwara vy aurusi?....ndo maana hata John kerry aliwadharau hadharani wakaonekana wajinga tuu....Huwazi kuwa World super power kwa mikwara mbuzi ya kijinga kama hiyo....You have to be better somewhere
Russia aliingia kwenya anga za turkey thats y hakuna aliyemlaumu kwa ku act...pale walikuwa lwenye international waters thats y us wakawa na busara...
Acha hiyo mara kwa mara bomber za russia zimekuwa zikifukuzwa na f-16 za U.S kule alaska zikiingia kwenya teritory za U.S,alafu wanawasindikiza na kuwaambia mmeingi kwenye anga zetu..Russia wanageuka na kusepa..
Siku zote u.s wamekuwa waki act honestly hata kama russia wameingia kwenye airspace yao..Thats how a super power should act...U.S hawana akili maji kama zako wewe Elungata na Putin wako
Afazali umeelimisha kama una nguvu unakuwa mustaarabu, kwani ukiazibu kila mtu wataisha.
 
SU-24 zinazotumika Russia ziko na electronic warfare platform,
yes ile meli ina rada ya kuziona ndege kwa umbali wa mile 200.
Sasa wanachofanya warusi wanapobuzz,wanakuwa wanatest rada capabilities ya rada pamoja na kukusanya inteligence kuhusu silaha gani zimo melini mle,
karudi upya kusoma kisa kizima utaona kuwa siku ya pili yaani tarehe 12 april,licha ya hizo ndege ilikuwepo pia helcopter iliyokua ikichukua picha wakati ile ndege ya mrusi ikibuzz.
Ukweli ni kuwa ile ndege ilikua chambo tu na iwapo ingeshambuliwa zilikuwepo ndege zingine mbili za SU-24 ambazo zilikuwa tayari kujibu iwapo ile ndege ingeshambuliwa
Hamna chochote cha maana walichofnay urusi hapo ambacho wewe unawaona wajanja kumbe wanatafuta kuandikwa na kujadiliwa kwenye mitandao tu kama unavyofanya wewe..Yaani wanafurahi sana kujadiliwa kwa vitu cheap kama hivi
Ndio maana Obama alimchana live tu Putin,kwamba Russia sio super power ni regional powermPutin alimind lakini huo ndo ukweli....sasa ili Russia aonekane yupo,ndio kama ivi anafanya provocative za kijinga ili wajadiliwe wajione nao ni ma Super kiasi flani..Ndioo maana nmekwambia hata izo sjui picha uanzosema walichukua,taarifa ulizozitoa kwenye Putinic social media hazina maana yyotge kwa super power kama U.Sndio maana anawona mbuzi tuu...mlikuwa strong kipindi cha USSR na akawagaragaza kama dekio,sasa leo mtamwambia nini..Kila siku mtaleta videge vyenu na vi Bomber outdated kule alaska then wanawasindikiza kurudi kwenu kwa kutumia F-15/16 na kuwaambia msirudie tena afu wanarudia kiilekile kama watoto...Super power hutakiwi kuwa provocative kijinga, kama kuwadungua wangekuta washazidungua zile bomberzenu outdated zinazokuja kuile alaska daily...
acha ushabiki maandazi mkuu,afu mwambie uyo idiot putin asiwe na akili kama za cold war,dunia ishabadilika sku izi..
Si mnaona pia mlileta vi submarine vyenu pale UK wakawapa warning mkageuza mkia,je wangamua kuwa shoot mngefanyaje...Usione watu wajinga wakia act wisely against you,jistukie
 
Ha ha ha,naona wamarekani wamekasirika kwelikweli.

Meli ilikuwa umbali wa mile 50 kutoka katika kambi ya jeshi la maji la urusi.
Warusi wanasema wanashangaa malalamiko ya marekani,kwani ndege zao zilikua katika mazoezi ya kijeshi na taratibu zote za kiusalama zilifuatwa,na kwamba wataendelea na mazoezi bila kujali kuna meli gani iko jirani na kambi yao ya jeshi.

Kwa maneno mengine wanawambia wamarekani,STAY AWAY FROM OUR NAVY BASE
 
Afazali umeelimisha kama una nguvu unakuwa mustaarabu, kwani ukiazibu kila mtu wataisha.
Sasa mijitu na ushabiki maandazi humu wanataka u.s angeshoot zile ngede sisizokuwa armed....yaani sawasawa na kichaa ana ku provoke afu unachukua bastola unamshoot..kila mtu atakuona mpumbavu
 
Hamna chochote cha maana walichofnay urusi hapo ambacho wewe unawaona wajanja kumbe wanatafuta kuandikwa na kujadiliwa kwenye mitandao tu kama unavyofanya wewe..Yaani wanafurahi sana kujadiliwa kwa vitu cheap kama hivi
Ndio maana Obama alimchana live tu Putin,kwamba Russia sio super power ni regional powermPutin alimind lakini huo ndo ukweli....sasa ili Russia aonekane yupo,ndio kama ivi anafanya provocative za kijinga ili wajadiliwe wajione nao ni ma Super kiasi flani..Ndioo maana nmekwambia hata izo sjui picha uanzosema walichukua,taarifa ulizozitoa kwenye Putinic social media hazina maana yyotge kwa super power kama U.Sndio maana anawona mbuzi tuu...mlikuwa strong kipindi cha USSR na akawagaragaza kama dekio,sasa leo mtamwambia nini..Kila siku mtaleta videge vyenu na vi Bomber outdated kule alaska then wanawasindikiza kurudi kwenu kwa kutumia F-15/16 na kuwaambia msirudie tena afu wanarudia kiilekile kama watoto...Super power hutakiwi kuwa provocative kijinga, kama kuwadungua wangekuta washazidungua zile bomberzenu outdated zinazokuja kuile alaska daily...
acha ushabiki maandazi mkuu,afu mwambie uyo idiot putin asiwe na akili kama za cold war,dunia ishabadilika sku izi..
Si mnaona pia mlileta vi submarine vyenu pale UK wakawapa warning mkageuza mkia,je wangamua kuwa shoot mngefanyaje...Usione watu wajinga wakia act wisely against you,jistukie
kama warusi wanafanya hivyo ili waandikwe sijui,unadhani kwanini media za mrusi hazijaandika hiyo ishu?,
wajua kwamba pentagon ndo wamei break hii habari na hadi kutoa picha?.
Halafu ukienda website ya US NAVY wanajaribu kujitetea kwanini hawakuishoot ile ndege.

Kama wanajikosha tu,usikute mitambo ya humo melini ilikua jammed kama kipindi kile
 
Back
Top Bottom