Here we go again: US to suspend immigrant visa processing from 75 countries (including Tanzania) over public assistance concerns

Pulchra Animo

Platinum Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
6,863
Reaction score
10,561
Trump is on offense once again!

The countries affected by the suspension announced on Wednesday are:

Afghanistan, Albania, Algeria, Antigua and Barbuda, Armenia, Azerbaijan, Bahamas, Bangladesh, Barbados, Belarus, Belize, Bhutan, Bosnia, Brazil, Burma, Cambodia, Cameroon, Cape Verde, Colombia, Congo, Cuba, Dominica, Egypt, Eritrea, Ethiopia, Fiji, Gambia, Georgia, Ghana, Grenada, Guatemala, Guinea, Haiti, Iran, Iraq, Ivory Coast, Jamaica, Jordan, Kazakhstan, Kosovo, Kuwait, Kyrgyzstan, Laos, Lebanon, Liberia, Libya, Macedonia, Moldova, Mongolia, Montenegro, Morocco, Nepal, Nicaragua, Nigeria, Pakistan, Republic of the Congo, Russia, Rwanda, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Senegal, Sierra Leone, Somalia, South Sudan, Sudan, Syria, Tanzania, Thailand, Togo, Tunisia, Uganda, Uruguay, Uzbekistan and Yemen.

US to suspend immigrant visa processing from 75 countries over public assistance concerns — The Associated Press
 
Hebu mnikumbushe ile ya kwanza Bwana Trump alitu suspend kwenye upande gani na hii ni ipi?

Maana uozo wa huyu mama unatuchanganya hata kufuatilia inakera tu, maana ukigeuka huku ban, mara suspended fund, mara to review relationship,mara arrest warranty.
 
Ya kwanza ilikuwa ya non-immigrant visa. Hii ni immigrant visa!
 
Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.

Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga

Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.
Wanadai in special cases or emergency. Na labda huyo kijana alipata visa kabila ya January 1st.
 
Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.

Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga

Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.
Huyo alikua ameshapata visa kabla ya muda wa zuio, baada ya tarehe ya kutoka zuio asingeweza kupata.

Hivyo waliokuwa na valid visa tayari zuio halikuwahusu.
 
Ninafikiri sasa hatua inayofuata mali za mafisadi na majizi ya CCM wote wazifreeze na wapewe zuio pia maana wana watoto wao wenye uraia sasa wakikosa nafasi ya kuja kuwaona itakua jambo jema ili waone inakaa vipi kwa watoto waliowaua tarehe 29.
 
Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.

Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga

Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.

Kifupi huyo mwanafunzi kapata visa kwa sababu wanafunzi hawatumii immigrant visa (hii iliyositishwa), wanatumia Non-Immigrant visa, ambayo haijasitishwa.

Ukisoma hiyo taarifa kwenye link post ya kwanza hapo juu utaona wameandika hivi.

"The suspension, which will begin Jan. 21, will not apply to applicants seeking non-immigrant visas, or temporary tourist or business visas, who make up the vast majority of visa seekers. Demand for non-immigrant visas is expected to rise dramatically in the coming months and years due to the upcoming 2026 World Cup and 2028 Olympics both of which the U.S. will host or co-host."

Kirefu.

Visa ya US ina aina nyingi, lakini ina aina kubwa mbili. Immigrant Visa na Non Immigrant Visa.

Tuanze na Immigrant Visa.

Hii ni visa ya watu wanaohamia kabisa US, wanasema wanataka kwenda kuweka makazi kabisa huko bila ya kuwa na mpango wa kurudi kimoja nchi walikotoka. Mfano mtu anayepata Green Card kwa lottery na kuamua kuishi Marekani, au mtu anayeoa au kuolewa na Mmarekani na kuamua kufanya makazi Marekani kimoja.

Hiyo inaitwa Immigrant Visa.

Kwa kuelewa kirahisi, Immigrant Visa ni ile inayoitwa Green Card.

Halafu kuna aina kubwa ya visa nyingine. Non-Immigrant Visa.

Hii ni kwa mtu anayesema anataka kwenda Marekani kwa kipindi fulani halafu atarudi nchini mwake. Watu wengi wanaoenda Marekani ndiyo wanatumia hii Non Immigrant visa. Hii inajumuisha visa za wanafunzi, watalii, wafanyabiashara na watu wengine wote ambao wanapata visa ya kwenda Marekani, kufanya shughuli zao, na kisha kurudi kwao, kwa mfano Tanzania.

Sasa Marekani ilisema imesitisha utoaji wa Immigrant Visa (Green Card). Wanadai kuwa wahamiaji wengi wanapata hizi visa halafu wanakuwa tegemezi kwa serikali. Serikali ya Marekani ya sasa inataka kuondoa utegemezi huu.Na ukiipata hii visa kwa namna fulani serikali ina wajibu fulani kukusaidia.

Mtu anayeenda kusoma anatumia student visa ambayo ni Non-Immigrant visa, si Green Card, si Immigrant Visa.

Hiyo inamaanisha mtu anayeomba Non-Immigrant Visa kwenda kusoma Princeton, suala la serikali ya US kusitisha utoaji wa Immigrant Visa halitamhusu.

Hata wewe ukitaka kuja kusoma, kutalii, kufanya biashara, kinsingi Marekani visa ya Non-Immigrant bado wanatoa, ila masharti yao ni magumu kama unavyowajua kila siku.

Ndiyo maana aliyeenda kusoma Princeton kapata visa bila tatizo.

Kwa sababu yeye anaomba Non-Immigrant Visa, si Immigrant visa (Green Card).

Huyu anayeenda kusoma zake Princeton (bonge la shule by the way, nilikwenda kutembea hapo miaka mingi sana wakati naangalia vyuo vya kusoma, hongera zake) huyu mambo ya Immigrant Visa hayamhusu, yeye anatafuta Non Immigrant Visa, hususan student visa.
 
Halafu kuna visa nyingine. Non-Immigrant Visa.

Hii ni kwa mtu anayesema anataka kwenda Marekani kwa kipindi fulani halafu atarudi nchini mwake. Watu wengi wanaoenda Marekani ndiyo wanatumia hii Non Immigrant visa. Hii inajumuisha visa za wanafunzi, watalii, wafanyabiashara na watu wengine wote ambao wanapata visa ya kwenda Marekani, kufanya shughuli zao, na kisha kurudi kwao, kwa nfano Tanzania.

Sasa Marekani ikisema imesitisha utoaji wa Immigrant Visa (Green Card). Wqnadai kuwa wahamiaji wengi wanaoata hizi visa halafu wanakuwa tegemezi kwa serikaki. Na ukiioata hii visa kwa namna fulani serikali ina wajibu fulani kukusaidia.

Mtu anayeenda kusoma anatumia student vusa ambayo ni Non-Immigrant vusa, si Green Card, si Immigrant Visa.

Hiyo inamaanisha mtu anayeomba Non -Immigrant Visa kwenda kusoma Peinceton, suala la serikaki ya US kusitisha utoaji wa Immigrant Visa halitamhusu.

Kwa sababu yeye anaomba Non-Immigrant Visa, si Immigrant vusa (Green Card).

Huyu anayeenda kusoma zake Princeton (bonge la shule by the way, nilikwenda kutembea hapo miaka mingi sana wakati naangalia vyuo vya kusoma, hongera zake) huyu mambo ya Immigrant Visa hayamhusu, yeye anatafuta Non Immigrant Visa, hususan student visa.
Non-immigrant visa freeze ndiyo ilikuwa move yao ya kwanza!
 
Kutoka website ya Ubalozi wa Marekani Tanzania.

NOTICE

Starting October 23, 2025, Tanzanian nationals who are found otherwise eligible for a B1/B2 visa must post a bond of up to $15,000. At the time of the interview, the consular officer will inform the applicant whether they are eligible for a visa and will provide instructions on how to pay this bond. Applicants must not use any third-party website for posting the bond, nor pay a bond before instructed to do so by a consular officer. B1/B2 visas for Tanzanian nationals cannot be issued until the bond has been paid. This requirement applies regardless of place of application.

Applicants for U.S. nonimmigrant visas should schedule their visa interview appointments at the U.S. Embassy or Consulate in their country of residence or nationality.  Visa application fees are non-refundable and non-transferable. For more information, visit travel.state.gov .

Applicants for H-1B (and their H-4 dependents), F, M, or J nonimmigrant visas are instructed to adjust the privacy settings on all of their social media accounts to ‘public’ to facilitate vetting necessary to establish their identity and admissibility to the United States under U.S. law.

Pursuant to Presidential Proclamation 10998 on Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States, which takes effect at 12:01 a.m. Eastern Standard Time on January 1, 2026, the United States is suspending or limiting entry and visa issuance to nationals of 39 countries as well as individuals applying using travel documents issued or endorsed by the Palestinian Authority. Applicants who are subject to Presidential Proclamation 10998 may still submit visa applications and attend scheduled interviews, but they may be ineligible for visa issuance or admission to the United States. For additional details, visit travel.state.gov .

Effective immediately, the Department of State has paused all visa issuances to diversity immigrant visa applicants. For additional details, visit travel.state.gov here .
 
Kifupi huyo mwanafunzi kapata visa kwa sababu wanafunzi hawatumii immigrant visa (hii iliyositishwa), wanatumia Non-Immigrant visa, ambayo haijasitishwa.

Ukisoma hiyo taarifa kwenye link post ya kwanza hapo juu utaona wameandika hivi.

"The suspension, which will begin Jan. 21, will not apply to applicants seeking non-immigrant visas, or temporary tourist or business visas, who make up the vast majority of visa seekers. Demand for non-immigrant visas is expected to rise dramatically in the coming months and years due to the upcoming 2026 World Cup and 2028 Olympics both of which the U.S. will host or co-host."

Kirefu.

Visa ya US ina aina nyingi, lakini ina aina kubwa mbili. Immigrant Visa na Non Immigrant Visa.

Tuanze na Immigrant Visa.

Hii ni visa ya watu wanaohamia kabisa US, wanasema wanataka kwenda kuweka makazi kabisa huko bila ya kuwa na mpango wa kurudi kimoja nchi walikotoka. Mfano mtu anayepata Green Card kwa lottery na kuamua kuishi Marekani, au mtu anayeoa au kuolewa na Mmarekani na kuamua kufanya makazi Marekani kimoja.

Hiyo inaitwa Immigrant Visa.

Kwa kuelewa kirahisi, Immigrant Visa ni ile inayoitwa Green Card.

Halafu kuna aina kubwa ya visa nyingine. Non-Immigrant Visa.

Hii ni kwa mtu anayesema anataka kwenda Marekani kwa kipindi fulani halafu atarudi nchini mwake. Watu wengi wanaoenda Marekani ndiyo wanatumia hii Non Immigrant visa. Hii inajumuisha visa za wanafunzi, watalii, wafanyabiashara na watu wengine wote ambao wanapata visa ya kwenda Marekani, kufanya shughuli zao, na kisha kurudi kwao, kwa mfano Tanzania.

Sasa Marekani ilisema imesitisha utoaji wa Immigrant Visa (Green Card). Wanadai kuwa wahamiaji wengi wanapata hizi visa halafu wanakuwa tegemezi kwa serikali. Serikali ya Marekani ya sasa inataka kuondoa utegemezi huu.Na ukiipata hii visa kwa namna fulani serikali ina wajibu fulani kukusaidia.

Mtu anayeenda kusoma anatumia student visa ambayo ni Non-Immigrant visa, si Green Card, si Immigrant Visa.

Hiyo inamaanisha mtu anayeomba Non-Immigrant Visa kwenda kusoma Princeton, suala la serikali ya US kusitisha utoaji wa Immigrant Visa halitamhusu.

Hata wewe ukitaka kuja kusoma, kutalii, kufanya biashara, kinsingi Marekani visa ya Non-Immigrant bado wanatoa, ila masharti yao ni magumu kama unavyowajua kila siku.

Ndiyo maana aliyeenda kusoma Princeton kapata visa bila tatizo.

Kwa sababu yeye anaomba Non-Immigrant Visa, si Immigrant visa (Green Card).

Huyu anayeenda kusoma zake Princeton (bonge la shule by the way, nilikwenda kutembea hapo miaka mingi sana wakati naangalia vyuo vya kusoma, hongera zake) huyu mambo ya Immigrant Visa hayamhusu, yeye anatafuta Non Immigrant Visa, hususan student visa.

Mkuu Trump kapiga pini viza zote kutolewa kwa Watanzania, alianza na non-immigrant hiyo Jan 1 kama zuio namba 2, akiacha makundi machache kama wanamichezo lakini watembezi wa utalii, familia, wanafunzi wote hawawezi pata visa baada ya Jan 1.

Kabla ya hapo aliweka kikwazo cha kuweka kudeposit bond kwa maombi ya kuanzia mwezi Oktoba...

Sasa hiili zuio jipya la tatu naona ndio msumari wa mwisho unless uwe na uraia wa Marekani ndio utatia timu USA...
 
Back
Top Bottom