mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,614
- 23,745
ilikuwa aibu san kw wamarekani baada ya misaad ya kijeshi kuangukia mikononi mwa warusi
Hapana taarifa hiyo sio sahihi-Biashara huria imekuwa ikininufaisha wenye viwanda(west)for years,na viwanda vyao vimekuwa vikipata cheap energy kutoka hasa ME.Sasa mambo yamebadilika China akaona fursa ya soko lenye njaa kaweka mkakati wa kulizba matokeo yake ni Amerka tu kabaki juu yake jambo hili si zuri hata kidogo kwa madhumuni ya NATO na America -Kumwangusha China lazima kudhibiti oil na gas hivo lazima maeneo yote yenye gas na oil yawe chini ya West wakaanza na Iran wameshindwa kwa sababu Russia alisapot mbaya zaidi sadam akawageuka yakamkuta yeye,wakahamia afghanistani,Talban wakakataa kuruhusu bomba la gas to caspian sea,Libya sasa syria.Nigeria chini sanni abacha alishinikizwa achukue mkopo WB akakataa yakamkuta,Sijui Buhari na boko haram itakuwaje!China anapewa ulinzi wa uhakika toka Russia,pia russia mbabe anauza gas kwa bei anayotaka ulaya tofauti na matakwa yao hivo gharama za uzalishaji ni kubwa ukilinganisha na uzalishaji China.kumkomesha russia ni kudhibiti mlango wa soko lake Ukraine mkakati ukawekwa,serikali ya kupendelea NATO ikawekwa ukraine.Russia fasta kaweka waasi wanotaka kujitenga mashariki mwa ukraine na kuchukua Crimea yenye Pwani iliyo na hazina kubwa ya gas,West wakatungua ndege ya malaysia huko ukraine na kumsingizili russia,russia wakatoa ushahidi,jamaa imebidi waweke vikwazo vinavowaumza na wao.vita ni pana kuna jumuia ya BRICS west wamefanikiwa kumtoa Brazil kiana,.China wameanzisha AIIB,Russia ni mshirika mkubwa wa benki hii hili ni pigo kwa WB.West wameanzisha TPP ili tu kmhujumu China-kwa ufupi wakifanikiwa kumwangusha RUSSIA,West watarudisha hadhi yao kwa miaka 200.Sera ya Putin ni kuwa na multpolar world na si kila kitu Washington.West wanataka tundelee kutumia dola,tununue gas na oil kwa dola,tukope WB,tufate ushauri wa kiuchumi wa IMF na tununue bidha zao kwa bei walopanga wao na kununua zetu kwa bei walopanga wao pia!Bill Clinton alitawala America kipindi kimoja na boris yersin wa Russia, kulikua kimya kabisa, hatukuona shida hizi
Akaja rais George w Bush akatawala America kipindi kimoja na rais putin, hatukuona ugomvi wowote, palikua kimya tu
Then Akaja mwafrika Barack Obama, hapo sasa ndipo tukaona makucha ya Vladimir putin, kwanza akaamua kui cheat constitution ya Russia, akiwa tayari ametumikia kipindi chake cha urais akamsukumiza mediviedev awe rais ili yeye arudi kuwa rais kwa mara nyingine baada ya mediviedev jambo ambalo ni geni kabisa katika siasa za ulimwengu huu
Kumbe putin alishaona Kuna mwafrika tena dhaifu anaelekea kuwa rais wa marekani, putin akaona huu ndio wakati muafaka wa kurudisha heshima ya Russia at the expense of this useless Niger
Chini ya putin, Russia imevunja sheria ya kimataifa ya sovereignty kwa kulichukua jimbo la Crimea mali halali ya ukaraine kwa mabavu ya kijeshi na kuwatimua askari halali wa ukaraine, kisa?
Eti kisa raia wa Ukraine wamefanya maandamano ya kumpinga rais wao na kisha bunge kupiga kura ya kumtoa madarakani hivyo akakimbilia Russia, Je suala hili lilikua linaihusu nini Russia? Russia na Ukraine ni majirani tu, kwa sheria za kimataifa hakuna taifa linaruhusiwa kuingilia mambo ya jirani yake, Ukraine was and still is sovereign state
Kisingizio cha kuwasaidia Russian speakers ndani ya Ukraine hakina mashiko katika international law, maana hao ni raia wa Ukraine Ingawa wanaongea kirusi pia,
Hii ni sawa na kenya kuivamia Tanzania kuja kuwalinda wajaluo ambao ni raia wa Tanzania na sio kenya
Ni ukorofi huu wa Vladimir putin uliowafanya majirani wa Russia Poland, Croatia, Slovakia, Slovenia, Romania, Estonia, Bulgaria etc kuomba msaada wa NATO na marekani, maana hata wao pia wana population kubwa ya Russian speakers ndani ya nchi zao, na hii ndio pretext kubwa inayotumiwa na putin kudestabilise majirani zake
Sasa NATO imeweka mkakati wa kuzisaidia nchi hizi kujikinga na yaliyofanywa na Russia, Ukraine,
Hii ni pamoja na kupeleka vifaa vizito kabisa katika nchi hizo, kupeleka wanajeshi na kujiandaa kwa lolote, sasa Russia amezungukwa pande zote hivyo yeye ndie amegeuka victim na anapiga kelele kuwa anazungukwa
Ni wazi kabisa kuwa hizi hatua za kujilinda zilizochukuliwa na NATO zimeifanya Russia kujiuliza mara mbili mbili kabla ya kufanya Yale ya Ukraine, Ingawa Ukraine hakua mwanachama wa NATO hivyo hakua na sifa za kulindwa na NATO
Hivyo ukorofi wa putin ndio umeifikisha Russia hapo, Kinachofanywa na NATO sasa ni majibu stahiki kwa Russia,
Putin alitaka kuirudisha Russia kwenye ramani ya dunia kwa nguvu, sasa akubali matokeo pia
Kuhusu Syria Russia ana haki zote kumsaidia mshirika wake, ndio maana marekani na EU Hawana tatizo na involvement ya Russia Syria, shida ni huko kwa majirani zake wadogo wadogo
Bill Clinton alitawala America kipindi kimoja na boris yersin wa Russia, kulikua kimya kabisa, hatukuona shida hizi

Mkuu Elungata, kwanza nakupongeza sana kwa ku "disclose material facts" humu jukwaani sisi sote ni watu wazima na akili zetu,tunafuatilia kwa umakini mkubwa sana kila komenti ya mtu,hivyo asikukatishe mtu tamaa,kuwa eti unasemaga uongo,wakati unashusha nondo na ushahidi.Humu ndani hakuna mashabiki wa URUSI,bali kuna watu ambao hatuko tayari kudanganmywa,tunataka ukweli usemwe.Hivyo wewe na watu wenye mtazamo kama wako ni watu ambao tunapenda ukweli usemwe.US ina uwezo wake na mazuri yake,lakini kuna wengine wanauwezo na mazuri yao ambao US hana.US haijakamilika kila sehemu.kihistory crimea ni Russia,kuna rais wa soviet mwenye asili ya ukraine ndo alihamisha umiliki kwa ukraine bila kufuata utaratibu,ni sawa na Rais mwinyi aigawie zanzibar mji wa Tanga ,halafu baada ya miaka kadhaa muungano usiwepo halafu zanzibar itake kujiunga na maadui wa Tanganyika na hivyo Rais magufuli airudishe Tanga mikononi mwa Tanganyika.
Putin alijitahidi sana kuionya ukraine isijiunge na NATO.
Ilifikia mpaka akawa anawapa gase bure ama kwa bei ya karibu na bure ili tu ukraine isijiunge na Nato ama EU ,ukraine ilitoa sababu za kiuchumi,Russia wakamwambia watambail out kwa dola bilion 15,
rais wa ukraine akaanza kushawishika kutoajiunga na NATO ,ilikuwa ni muhimu asijiunge na Nato kwani kistrategy ilikuwa ni hatari kwa Russia.
Marekani kuona rais wa ukraine anasuasua,majasusi wa kimarekani wakaanza mbinu za kumpindua rais ya ukraine,
zilitengwa dola bilion 5 kwa kazi hiyo na show yote ilisimamia na mwanamama Victoria Nulland.
Baada ya rais kupinduliwa ni logic tu ilitumika kuikamata crimea kwani wamarekani lazima walikuwa wametega kuweka kambi lao la NATO pale.
Kilichotokea ukraine hakina tofauti na kinachotaka kutokea syria kwani nayo kistrategy ni muhimu sana kwa Russia
Ana-google halafu anajifanya mchambuzi mashuhuri.pendo shununu
Mbona hufanya acknowledgement ya Intellectual work za watu?
Wewe huna uwezo wa kufanya analysis kama hiyo.
USHAURI: Toa source na utaje muandishi.
Others wise that's plagiarism a.k.a Academic suicide.
Unakumbuka walivyowapiga mkwara nchi wanachama wa EU kwamba watafunga gesi yao isiende ulaya, mbona waliomba po wenyewe, chezea Russia nini.iran hajapata kubabaishwa na vile vikwazo,actually vikwazo havikuizuia iran kupiga hatua zake za kiuchumi duniani.
Na kuhusu russia usidhani kuja kwa delegation yao hapa ndo wanashida mno,utawapa nini labda wale maana kama ni resource,hakuna nchi ina maliasiri nyingi kama russia.
Ile haihitaji kuja kuchukua raw material wanajitosheleza
Hata huko hapawezi.USA saizi yake ni vietnam na siyo russia
Ukiona anahangaika kuongea uongo, ujue hapo anaitetea CCM.Mkuu Elungata, kwanza nakupongeza sana kwa ku "disclose material facts" humu jukwaani sisi sote ni watu wazima na akili zetu,tunafuatilia kwa umakini mkubwa sana kila komenti ya mtu,hivyo asikukatishe mtu tamaa,kuwa eti unasemaga uongo,wakati unashusha nondo na ushahidi.Humu ndani hakuna mashabiki wa URUSI,bali kuna watu ambao hatuko tayari kudanganmywa,tunataka ukweli usemwe.Hivyo wewe na watu wenye mtazamo kama wako ni watu ambao tunapenda ukweli usemwe.US ina uwezo wake na mazuri yake,lakini kuna wengine wanauwezo na mazuri yao ambao US hana.US haijakamilika kila sehemu.
MKUU Elungata sijawahi ona mahali umesema uongo,wewe mtu wa"facts".Endelea kutupa darasa.
Na ni kwa sababu alikwisha mwagwa kamasi na Vietnam. Ila sema Marekani huwa analipiza kisasi kupitia MOVIES, Vietnam hudundwa kichizi ndani ya movies. tehe tehe.Hata huko hapawezi.
Nakubaliana na wewe, rafiki yetu huyu kuna sehem huwa tunaacana njia panda. Inawezekana kwenye CCM ana maslahi binafsi halafu mapana.si unajua CCM ni chama la madili. Ila huku anaongea ukweli tumuunge mkono.Ukiona anahangaika kuongea uongo, ujue hapo anaitetea CCM.
Russia kukaa kimya haimaanishi kwamba wameogopa kupambana na NATO na haimanishi kuwa hawana silaha za kupambana na NATO. hiyo ni mojawapo ya military strategy katika geopolitics ambayo wameamua kuitumia. always hauwezi ukajibu mapigo ya wapinzani wako kwa physical fight na ndicho anachokifanya Russia kama NATO wangekuwa wanaubavu wakupambana na Russia physically nafasi ilijitokeza Crimea na Syria lakini wote waliishia kulialia tu kwenye Corridors za Brussels.