Here is Russia's Response to NATO’s activities near Its borders

Here is Russia's Response to NATO’s activities near Its borders

Hivi ni vita vya warusi ma wamarekani jamii forum....haaa haaa haaa yetu macho
 
habari ya kushambulia marekani umezitoa wapi?! putin hawazi kuthubutu kufanya huo upuuz unaofikiria make anajua mziki ulivyo mzito. mapigo anayojibu ndo hayo kusogeza majeshi mpakani, mapigo ya kitoto kweli. mwambie huyo putin amege nchi mwanachama wa nato akione cha moto teh!
Pro Russians wengi huwa ni ushabiki tu na kukurupuka, wao kila habari wanaichukulia kama mashindano, lakini kwa uwezo wa kuchambua Hawana kabisa, tofauti na wenzao pro americans ambao wengi wakichambua mwenyewe unakubali

Just imagine hakuna pahala popote ambapo either analyst au officials wa nazungumzia putin kushambulia America au America kushambulia Russia, kitu kama hicho hakipo hata kwenye calculas lakini umeona huyo pro Russian uliemjibu ameshakimbilia hata kuzungumzia hizi nchi mbili kupigana
Hatua zote zinazochukuliwa na mataifa mawili ni kitu kinaitwa deterrence against mwenzie

Na hiki kitu wote wawili wamefanikiwa, wote Russia na America kila mmoja hawezi kushambulia mwenzie kwa kuogopa matokeo ya tendo hilo, wanachotafuta ni deterrence tu, yaani ile Hali ya adui yako kujiuliza mara mbili mbili kabla hajafikiria kukushambulia Kutokana na silaha ulizonazo na ulivyojipanga pia
 
habari ya kushambulia marekani umezitoa wapi?! putin hawazi kuthubutu kufanya huo upuuz unaofikiria make anajua mziki ulivyo mzito. mapigo anayojibu ndo hayo kusogeza majeshi mpakani, mapigo ya kitoto kweli. mwambie huyo putin amege nchi mwanachama wa nato akione cha moto teh!
tatizo mkuu hufuatilii matukio,wengine kila baada ya nusu saa tunachungulia twitter kuona dunia inavyokwenda kila sekunde,Russia ilianza kuchukua hatua kuhusu missile shield tangu miaka 5 iliyopita.
Wakati marekani hajatengeza kombora jipya la ICBM,ndani ya miaka 10 Russia ametengeza makombora mbalimbali ambayo hiyo missile shield haiwezi zuia,
marekani anategemea kombora moja tu la ICBM linaitwa THE MINUTEMAN-111 na ambalo ni silo launched platform,sijawahi ona kombora la marekani ambalo ni mobile,wakati russia wanaintroduce mpaka yale ya rail based mobile ICBM .
Hiyo defence shield hapo romania dawa yake ni Iskander missile sysem,
kwa ufupi tu hiyo missile shield haiwezi pangua ICBM hata siku moja
 
The Aegis Ashore Missile Defense System unveiled Thursday is capable of firing SM-3 defensive missiles that can "defeat incoming short and medium range enemy missiles," according to Lt. Shawn Eklund, a spokesman for the U.S. Navy.
Eklund told CNN that the facility will be manned by approximately 130 U.S. sailors. The inaugural ceremony for the new system will be attended by top U.S. and NATO military officials.
The Romania installation is the first land-based defensive missile launcher in Europe and will join other elements of the NATO defensive shield, including a command-and-control center at Ramstein Air Base, Germany, a radar installation in Turkey and four ships capable of identifying enemy missiles and firing their own SM-3s based in Rota, Spain.
The U.S. and NATO have continually stressed that the system is intended to defend Europe from Iran and its expanding arsenal. Tehran has continued to test-fire ballistic missiles following the internationally negotiated deal to limit its nuclear program.
But Russia has dismissed the justification.
"From the very outset we kept saying that in the opinion of our experts the deployment of an anti-missile defense poses a threat to Russia," Russian presidential spokesman Dmitry Peskov said, according to the Tass News Agency. "The question is not whether measures will be taken or not; measures are being taken to maintain Russia's security at the necessary level."
 
tatizo mkuu hufuatilii matukio,wengine kila baada ya nusu saa tunachungulia twitter kuona dunia inavyokwenda kila sekunde,Russia ilianza kuchukua hatua kuhusu missile shield tangu miaka 5 iliyopita.
Wakati marekani hajatengeza kombora jipya la ICBM,ndani ya miaka 10 Russia ametengeza makombora mbalimbali ambayo hiyo missile shield haiwezi zuia,
marekani anategemea kombora moja tu la ICBM linaitwa THE MINUTEMAN-111 na ambalo ni silo launched platform,sijawahi ona kombora la marekani ambalo ni mobile,wakati russia wanaintroduce mpaka yale ya rail based mobile ICBM .
Hiyo defence shield hapo romania dawa yake ni Iskander missile sysem,
kwa ufupi tu hiyo missile shield haiwezi pangua ICBM hata siku moja
Kazi kweli kweli kawahiyo mkuu kila baada ya nusu saa unachungulia Twitter.....haaaa haaaa haaaa...hivi hivi siku ina masaa mangapi na katika siku kuna nusu saa ngapi?....kweli kaka umeamua [emoji311]
 
tatizo mkuu hufuatilii matukio,wengine kila baada ya nusu saa tunachungulia twitter kuona dunia inavyokwenda kila sekunde,Russia ilianza kuchukua hatua kuhusu missile shield tangu miaka 5 iliyopita.
Wakati marekani hajatengeza kombora jipya la ICBM,ndani ya miaka 10 Russia ametengeza makombora mbalimbali ambayo hiyo missile shield haiwezi zuia,
marekani anategemea kombora moja tu la ICBM linaitwa THE MINUTEMAN-111 na ambalo ni silo launched platform,sijawahi ona kombora la marekani ambalo ni mobile,wakati russia wanaintroduce mpaka yale ya rail based mobile ICBM .
Hiyo defence shield hapo romania dawa yake ni Iskander missile sysem,
kwa ufupi tu hiyo missile shield haiwezi pangua ICBM hata siku moja

huwezi kuikwepa marekani coz ni super power, ona sasa kumbe kwa siku unaingia twitter ya US mara 48, kwa wiki mara 336. kumbe kuzuia bunge haisaidii watu mfanye kazi sasa mko twitter
 
una wasiwasi wa kijinga

Jaribu kupitia majibu jibu yako, hivi umewahi hata kutoka nje ya Tanzania kuona kinacho endelea kwenye Mataifa ya Dunia ya kwanza - au unafikiri kila member anaye changia humu anategemea MSM kwa taarifa - maneno tu na kuzodoa watu, reading between the lines unaonekana wazi wazi uelewa wako katika masuala ya geopolitics na military science ni dismal kabisa, ndio maana unakimbilia kuzodoa watu na wakati mwingine kutumbukiza mambo ambayo hayana mantiki kabisi na somo husika!!

Jifunze kuhesimu binadamu wenzako kwanza, hata kama upendi michango yao leta ya kwako wasomaji wana akili timamu they know how to saperate the wheat from the chaff.
 
Ombi la ajabu kabisa hili! Ulitakiwa uiombee dunia ili vizazi viendelee kuishi kwa amani hata baada ya kuondoka kwako na sio yatokee ukiwa kaburini. Huo ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana; kwamba maadamu haupo yatokee yoyote tu alimradi hayana madhara kwako. Kwa kweli hata huyo Mungu wako anakushangaa kwa ombi hilo la ajabu kwake.
hahaha, ni sawa na mzazi anayekula chakula kinachobaki anampa mbwa wakati watoto wake wako shule na hakuna chakula kingine. wonders will never end
 
baada ya marekani na washrika wake kuzindua mfumo mpya wa kinga dhidi ya makombora karibu na mipaka ya russia, rais wa nchi hiyo vladimir putin na viongozi waandamizi wa taifa hilo waliapa kujibu mapigo, kwamba russia itajibu mapigo kwa kiwango cha ajabu, kwa kweli walitoa matamshi makali sana na ya kuogofya

lakini kinyume na matarajio ya wengi wetu jana wizara ya ulinzi ya russia imetoa tamko kuwa itapeleka vikosi vipya katika mipaka yake yote inayopakana na nchi zote kulikowekwa mfumo huo wa kinga dhidi ya makombora kama majibu ya hatua hiyo ya NATO
kwa lugha rahis ni kwamba russia itapeleka kikosi mpakani na romania, croatia, slovakia na poland na vitakaa huko permanently, pia russia ita deploy radar na sencor kwenye maeneo hayo ya mipaka yake na NATO

kwa wale mashabiki wote wa taifa hili la russia nadhan watakua dissapointed na majibu haya ya russia kwa NATO na america, kwa mujibu wa wachambuzi hatua hii ni kama diffensive zaidi, maadui zako wanazidi kukuzunguka kila kukicha na wanaleta silah nzito jirani na wewe, halaf unajibu kwa kupeleka vikosi jirani na uchokozi huo ili kujilinda, ni ishara ya udhaifu
wengi tulitegemea majibu makali ikiwezekana russia nae apeleke vifaa jirani na marekani lakini imekua kinyume

sababu zinazofanya russia isichukue hatua kali

(1) russia imeumizwa kwa kiwango kikubwa na vikwazo vya EU na marekani , EU na marekani ni chumi kubwa dunuani kama zinakuwekea vikwazo ni lazima utaathirika sana, hapa unazungumzia mataifa 28 ya ulaya ambayo russia kwa miaka amekua akifanya nayo biashara mbali mbali ,leo ghafla biashara hizo zinakua restricted na accounts kuwa frozen ni lazima uchumi uyumbe sana,hali ya russia kiuchumi kwa sasa ni mbaya kutokana na vikwazo hivyo, na russia kwa siku za karibuni imekua ikihaha vikwazo hivyo viondolewe, imekua ikizitumia baadhi ya nchi kama france,germany na greece kushawishi wenzio wa EU Kuiondolea russia vikwazo, na wote mmeona jinsi france inavyowabembeleza wenzao ktk EU kuviondoa vikwazo hivyo
ndio maana vladimir putin na wenzie wameshindwa kuchukua hatua kali dhidi ya NATO Wakiogopa kuiudhi EU isije ikaongeza muda wa vikwazo ambao una expire mwishoni mwa mei

(2) kutokana na hali ngumu ya russia kiuchumi haiwezi kumudu kufungua kambi ya kijeshi katika nchi za latin america jirani na marekani, kitendo cha kwenda kumsaidia dikteta bashal al asad pia kimeigharimu russia kiuchumi, gharama ya vita kwa siku ni kubwa mno, bei ya kombora au bomu moja linalorushwa na ndege vita ni kubwa mno na russia imerusha kupitia ndege karibia mabomu laki moja na kitu tangu september last year, ndio maana ikadai kujiondoa haraka syria bada ya mafanikio kiduchu ya awali, hivi sasa kuna mvutano, asad anaiomba russia iendelee na mashambulizi huku russia ikikataa kufanya hivyo, ikimlazimisha assad afikie makubaliano na wapinzani haraka badala ya kuendelea kutegemea msaada wa kijeshi, maana russia pia ina maslahi yake mengine ikiwemo uhusiano mzuri na EU

HIVYO kwa sasa hivi russia hana janja mwingine zaidi ya kuwaangalia tu maadui zake wakimzunguka kwa vifaa na wanajeshi labda zaidi anaweza hapa na pale kujitutumua kwa kuzi intercept ndege za marekani na washirika wake katika eneo la baltic mbinu ambayo ni ya kawaida , hata wao NATO wana intercept sana ndege za russia katika anga la NATO

NATO is continuing its military buildup along Russia’s borders. However, Russia is responding to every step the alliance takes by deploying new defensive weapons at its borders.

According to an article on the foreign affairs analysis website Voltaire Network, Washington in fact will not attack Russia. Its military buildup is rather aimed at provoking Moscow, in order to justify NATO’s expansion in Central Europe.

Amid NATO’s increased military activities near Russian borders, Moscow has announced the creation of two new units in the Western Military District (in Smolensk and Voronezh) as well as a new division in the South Military District (Rostov-on-Don).

Service combat surveillance vehicle SBRM

At the same time, along the Russian borders with Finland, the Baltics and Poland Russia is now deploying Sova anti-intrusion networks. This equipment allows the surveillance and monitoring of several moving targets and their trajectories.

The Sova-SBRM (stands for Combat Surveillance Vehicle) is operated by a group of servicemen. It is based on the chassis of the GAZ-233036 Tigr combat vehicle.

The Sova-SBRM is equipped with up to 50-80 magnetic, seismic and acoustic sensors. The sensors can be integrated into a network in designated areas and are controlled remotely. Each sensor is designed to recognize the frequencies of a number of sound vibrations, including those produced by helicopters, aircraft and armored vehicles.

The sensors can detect a target at a distance of up 15 kilometers, with a maximum accuracy of two degrees. They also indicate the trajectory of a moving target.

The vehicle itself is equipped with a telescopic antenna, with an operational range of 40 km. It also has an eight-channel electro-optical system comprising video cameras, thermal imaging devices and laser range finders.

The crew of the vehicle also operates two mini-drones, with a flight time of 60 minutes.

The Sova-SBRM was designed and produced by the defensive company Almaz-Antey in the city of Tula. It underwent tests in 2013-2015. It was deployed to the Hmeymim airbase in Syria as part of its defense system.
Russia kukaa kimya haimaanishi kwamba wameogopa kupambana na NATO na haimanishi kuwa hawana silaha za kupambana na NATO. hiyo ni mojawapo ya military strategy katika geopolitics ambayo wameamua kuitumia. always hauwezi ukajibu mapigo ya wapinzani wako kwa physical fight na ndicho anachokifanya Russia kama NATO wangekuwa wanaubavu wakupambana na Russia physically nafasi ilijitokeza Crimea na Syria lakini wote waliishia kulialia tu kwenye Corridors za Brussels.
 
Asante mkuu wa comment yako

Nimezingatia suala la Muda uliotumika kuikomboa ardhi, na hiyo ni sehemu ya success ambayo nimezungumzia hapo juu

Umeuliza kwa nn

Sababu kubwa ya ushindi au success hiyo katika Muda mfupi ni firepower ya Russia, kabla Russia hajaingia Syria vita vilipiganwa ardhini zaidi, jeshi la anga la Syria halikua na capabilities za kuwashinda waasi, Russia iliingia na nguvu kubwa, huwezi kulinganisha Russia na waasi, ndege za Russia ambazo ni sophisticated zinaruka umbali mrefu na kushambulia juu sana, na hii air campaign ndio ilileta hayo mafanikio niliyoyataja
Hapo kabla waasi pia walipata msaada kutoka turkey, saudia na Qatar, hata hivyo silaha hizo ni light arms, Silaha ndogo ndogo

Kulikua na mgawanyiko kati ya marekani na hao akina turkey kuhusu ni silaha gani waasi wapewe, maafisa we NGOJA NIKUSASAHIHISHE KIDOGO,NI HIVI DADA NDEGE ZA FOURTH GENERATION HAZIWEZI KUSUMBULIWA NA MANPADS(MANPortableAirDefSystm
 
us_hml_07.jpg
.
US mobile ICBM.

Very pathetic
 
Jaribu kupitia majibu jibu yako, hivi umewahi hata kutoka nje ya Tanzania kuona kinacho endelea kwenye Mataifa ya Dunia ya kwanza - au unafikiri kila member anaye changia humu anategemea MSM kwa taarifa - maneno tu na kuzodoa watu, reading between the lines unaonekana wazi wazi uelewa wako katika masuala ya geopolitics na military science ni dismal kabisa, ndio maana unakimbilia kuzodoa watu na wakati mwingine kutumbukiza mambo ambayo hayana mantiki kabisi na somo husika!!

Jifunze kuhesimu binadamu wenzako kwanza, hata kama upendi michango yao leta ya kwako wasomaji wana akili timamu they know how to saperate the wheat from the chaff.

acha ujuaji wewe, nini kutoka nje? so ndo unataka kusema wewe taarifa zako unakuwa eneo la tukio?! danganya ndina. afu wazee wa kujifaragua mnapenda sana kiswanglish eti ndo ujanja! haya basi tumeshajua wewe taarifa zako huwa unakuja nazo toka urusi
 
jamaa anakwambia ukweli,sisi sio kwamba tunaichukia marekani,ila tunaside mara nyingi na russia maana russia wanakuwa hawana ulterior motive kama wamarekani katika haya mambo ya kijeshi,

marekani always wako zaidi kimaslahi ,
 
Jaribu kupitia majibu jibu yako, hivi umewahi hata kutoka nje ya Tanzania kuona kinacho endelea kwenye Mataifa ya Dunia ya kwanza - au unafikiri kila member anaye changia humu anategemea MSM kwa taarifa - maneno tu na kuzodoa watu, reading between the lines unaonekana wazi wazi uelewa wako katika masuala ya geopolitics na military science ni dismal kabisa, ndio maana unakimbilia kuzodoa watu na wakati mwingine kutumbukiza mambo ambayo hayana mantiki kabisi na somo husika!!

Jifunze kuhesimu binadamu wenzako kwanza, hata kama upendi michango yao leta ya kwako wasomaji wana akili timamu they know how to saperate the wheat from the chaff.
Watu wengi tunaoingana humu ndani, ila kwa kuwa kupingana kwenyewe ni kwa hoja. Tunaishia kukubaliana kutokubaliana na kuendekea kuheshimiana.
Lakini huyo jamaa ni wa kumuacha vivyo hivyo. Kubishana hakuleti tija, maana hana hoja wala mtiririko wenye ladha ya arguments.
 
jamaa anakwambia ukweli,sisi sio kwamba tunaichukia marekani,ila tunaside mara nyingi na russia maana russia wanakuwa hawana ulterior motive kama wamarekani katika haya mambo ya kijeshi,

marekani always wako zaidi kimaslahi ,

Everything sounds Greek to him! Is a neither nor like a BAT.
 
Back
Top Bottom