pendo shununu
Member
- Apr 23, 2016
- 32
- 28
Baada ya Marekani na washirika wake kuzindua mfumo mpya wa kinga dhidi ya makombora karibu na mipaka ya Russia, rais wa nchi hiyo Vladimir Putin na viongozi waandamizi wa taifa hilo waliapa kujibu mapigo, kwamba Russia itajibu mapigo kwa kiwango cha ajabu, kwa kweli walitoa matamshi makali sana na ya kuogofya.
Lakini kinyume na matarajio ya wengi wetu jana wizara ya ulinzi ya russia imetoa tamko kuwa itapeleka vikosi vipya katika mipaka yake yote inayopakana na nchi zote kulikowekwa mfumo huo wa kinga dhidi ya makombora kama majibu ya hatua hiyo ya NATO.
Kwa lugha rahisi ni kwamba Russia itapeleka kikosi mpakani na Romania, Croatia, Slovakia na Poland na vitakaa huko permanently, pia russia ita deploy radar na sencor kwenye maeneo hayo ya mipaka yake na NATO
Kwa wale mashabiki wote wa taifa hili la Russia nadhani watakua dissapointed na majibu haya ya russia kwa NATO na America, kwa mujibu wa wachambuzi hatua hii ni kama deffensive zaidi, maadui zako wanazidi kukuzunguka kila kukicha na wanaleta silah nzito jirani na wewe, halaf unajibu kwa kupeleka vikosi jirani na uchokozi huo ili kujilinda, ni ishara ya udhaifu.
Wengi tulitegemea majibu makali ikiwezekana russia nae apeleke vifaa jirani na marekani lakini imekua kinyume.
Sababu zinazofanya Russia isichukue hatua kali
(1) Russia imeumizwa kwa kiwango kikubwa na vikwazo vya EU na Marekani, EU na Marekani ni chumi kubwa duniani kama zinakuwekea vikwazo ni lazima utaathirika sana, hapa unazungumzia mataifa 28 ya ulaya ambayo Russia kwa miaka amekua akifanya nayo biashara mbalimbali, leo ghafla biashara hizo zinakua restricted na accounts kuwa frozen ni lazima uchumi uyumbe sana, hali ya Russia kiuchumi kwa sasa ni mbaya kutokana na vikwazo hivyo, na Russia kwa siku za karibuni imekua ikihaha vikwazo hivyo viondolewe, imekua ikizitumia baadhi ya nchi kama france,germany na greece kushawishi wenzio wa EU Kuiondolea russia vikwazo, na wote mmeona jinsi france inavyowabembeleza wenzao katika EU kuviondoa vikwazo hivyo.
Ndio maana vladimir putin na wenzie wameshindwa kuchukua hatua kali dhidi ya NATO Wakiogopa kuiudhi EU isije ikaongeza muda wa vikwazo ambao una expire mwishoni mwa mei
(2) Kutokana na hali ngumu ya russia kiuchumi haiwezi kumudu kufungua kambi ya kijeshi katika nchi za latin america jirani na marekani, kitendo cha kwenda kumsaidia dikteta bashal al asad pia kimeigharimu russia kiuchumi, gharama ya vita kwa siku ni kubwa mno, bei ya kombora au bomu moja linalorushwa na ndege vita ni kubwa mno na russia imerusha kupitia ndege karibia mabomu laki moja na kitu tangu september last year, ndio maana ikadai kujiondoa haraka syria bada ya mafanikio kiduchu ya awali, hivi sasa kuna mvutano, asad anaiomba russia iendelee na mashambulizi huku russia ikikataa kufanya hivyo, ikimlazimisha assad afikie makubaliano na wapinzani haraka badala ya kuendelea kutegemea msaada wa kijeshi, maana russia pia ina maslahi yake mengine ikiwemo uhusiano mzuri na EU
HIVYO kwa sasa hivi russia hana janja mwingine zaidi ya kuwaangalia tu maadui zake wakimzunguka kwa vifaa na wanajeshi labda zaidi anaweza hapa na pale kujitutumua kwa kuzi intercept ndege za marekani na washirika wake katika eneo la baltic mbinu ambayo ni ya kawaida , hata wao NATO wana intercept sana ndege za russia katika anga la NATO
====================
NATO is continuing its military buildup along Russia’s borders. However, Russia is responding to every step the alliance takes by deploying new defensive weapons at its borders.
According to an article on the foreign affairs analysis website Voltaire Network, Washington in fact will not attack Russia. Its military buildup is rather aimed at provoking Moscow, in order to justify NATO’s expansion in Central Europe.
Amid NATO’s increased military activities near Russian borders, Moscow has announced the creation of two new units in the Western Military District (in Smolensk and Voronezh) as well as a new division in the South Military District (Rostov-on-Don).
Service combat surveillance vehicle SBRM
At the same time, along the Russian borders with Finland, the Baltics and Poland Russia is now deploying Sova anti-intrusion networks. This equipment allows the surveillance and monitoring of several moving targets and their trajectories.
The Sova-SBRM (stands for Combat Surveillance Vehicle) is operated by a group of servicemen. It is based on the chassis of the GAZ-233036 Tigr combat vehicle.
The Sova-SBRM is equipped with up to 50-80 magnetic, seismic and acoustic sensors. The sensors can be integrated into a network in designated areas and are controlled remotely. Each sensor is designed to recognize the frequencies of a number of sound vibrations, including those produced by helicopters, aircraft and armored vehicles.
The sensors can detect a target at a distance of up 15 kilometers, with a maximum accuracy of two degrees. They also indicate the trajectory of a moving target.
The vehicle itself is equipped with a telescopic antenna, with an operational range of 40 km. It also has an eight-channel electro-optical system comprising video cameras, thermal imaging devices and laser range finders.
The crew of the vehicle also operates two mini-drones, with a flight time of 60 minutes.
The Sova-SBRM was designed and produced by the defensive company Almaz-Antey in the city of Tula. It underwent tests in 2013-2015. It was deployed to the Hmeymim airbase in Syria as part of its defense system.