Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

Hili ndo tatizo la vijana WA Kitanzania katika fani ya sanaa..kuna wengi tu wenye akili kama za huyo kijana na hawajui protocal za maisha..wana ndoto kubwa za kuweza kuzitimiza ila hawana nidhamu ya njia zitumiwazo kuweza kufikia malengo yao...si muimbaji mzuri sana lakini anaweza kujifunza zaidi akawa mwimbaji mzuri...lakini kutokana na dharau zake na kiburi chake atabakia kuvaa na kupata hela za kuingilia katika kumbe za starehe tu na si zaidi ya hapo..

Kumbe hemedi ni wa kimataifa? Mi nlikuwa sijui, amefanya shoo za nje ngapi, au huto tu low-class childish maigizo wenyewe wanaita muvi ndo zinampa jeuri na dharau?? What a shame.! Pity on you!

Hemed bd anakuwa akili yake haina akili msameheni bure huwa sielewi anaimbaga nini kati ya katuni na makorokocho!!

Kumbe hemedi ni wa kimataifa? Mi nlikuwa sijui, amefanya shoo za nje ngapi, au huto tu low-class childish maigizo wenyewe wanaita muvi ndo zinampa jeuri na dharau?? What a shame.! Pity on you!

Sasa kati yake yeye na Ian anapaswa kuleta dharau; mwenzie Ian ana-act movies; na kama sikosei hata kwenye Egoli yumo achilia mbali movie zake mwenyewe; wakati yeye anakimbizana na maigizo ya ku-act kwa siku mbili; na ndani ya wiki CDs ziko mtaani zinauzwa then anapanda jukwaani na kumwambia Ian hana movie wala single...!!

Jaman,who z hemed hapo bongo,wengne 2ko 2napga box huku,ha2mjui,ni mbunge wa jimbo gan au katibu mkuu wa wizara gan?

what is language bwana???? Cha muhimu ni namna gani una behave mbele ya watu.

Msechu na wimbo wake RELAX waliwakilisha ipasavyo

Kweli Msechu ametuwakilisha vizuri, Ni msheshi i particularly liked the part anapomwamia Ngangalito "Take your time! Take your time! RELAX.

Ushamba upo wa aina nyingi sana,.hemed mshamba tena mshamba wa kizaman,.mlamba lips pori,na kufikiri kwake kwa kutumia masaburi.......

kifup tuachane nae hana lolote! mtu ajisifu eti minasura nzuri,mara nina madem 14, kama mtu maarufu anafundisha nini sasa?
ndo walewwle kina BHOKE kasoro tukio!

Back
Top Bottom