Msimu wa kulima umefika.
Kuna moment katika maisha no point of return unaweza sema mungu huypo kumbe he's just there watch'n you until the last point that you say its over now, then he showed up huwezi amini na sio kwamba anapenda unavyoteseka No anakupima imani je wakati wa raha utaweza kumkumbuka kama wakati wa shida??
Shkamoo.
pia nawaomba ndugu zangu humu jamvini mnipe japo neno tu la kunifanya niendelee kutamani kuishi,sina mtu yoyote wa karibu mda huu wa kunifarij hata usingizi sina!!
- Ndugu , usirudi nyuma, usichoke kutafuta, wenye nazo hawakuzaliwa nazo, ipo siku utafanikiwa.
- Tanguliza sala kwa kila ulipangalo na kulifanya.
- Toa sadaka ya sehemu ya kidogo mungu alichokupatia .
- Hakika utafanikiwa, na yanayokukabili leo yatabaki kuwa historia. Jipe moyo unaweza.
asante sana pia kwa hili,kuna mengine yanasikitisha,nakaribia kufukuzwa nilipopanga mda wa kulipa kodi umefka sina hata senti,ajira nazo ndo hazipatkani,mungu naomba anibariki anifungulie njia!
Aisee daah, kuna watu mnapitia majaribu hadi huruma, Mungu aepushie mbali.... Pole sana ukiona mambo yamekuelemea tafuta hata washkaji wakupige tafu au urudi home kwanza ujipange upya jamani.
Siku ya leo nimekuwa mpweke sana,nahangaika na kazi kwa muda mref sasa sijapata,nikichek mwaka unaisha, umri unazidi kwenda,hakuna la maana lolote nililofanya zaidi ya kuwa na afya njema tu aliyonijalia mungu,sina kipato,sina msaada,maisha ni magumu sana,nyumbani nako majirani kila kukicha masimango hayaishi,kodi ya nyumba inaisha,umeme nadaiwa,bill ya maji sijalipa,eeeh mungu nakuomba kama kuna uwezekano unifungulie njia nipate kuepuka kikombe hiki,pia nawaomba ndugu zangu humu jamvini mnipe japo neno tu la kunifanya niendelee kutamani kuishi,sina mtu yoyote wa karibu mda huu wa kunifarij hata usingizi sina!!
kwetu mkoani,hapa dar natafuta tu maisha,hali tete sana ila nashukuru jaman kwa ushauri wenu mnanitia nguvu,naomba mungu njia yangu ifunguke kupitia kwenu
...pole sana ndugu yangu. Ila kumbuka kuwa unapoona una tatizo hadi kufukia hatua kwamba unaona labda limekushinda, hapo ndipo Mwenyezi Mungu anapima imani yako kwake, na ukifaulu hapo tu basi ujue umefanikiwa na tatizo litakwisha huku ikibaki kuwa historia tu. Kumbuka pia kuwa hapo ni kwamba unatengeneza historia ya maisha yako na kwamba siku moja mambo yako yakiwa mazuri utabaki kuwa unakumbuka 'duh, nilipitia wakati mgumu sana kipindi Fulani huko nyuma'....ninakuomba umshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na afya aliyokujaalia kwani kuna wengi wanakosa hata hali hiyo ambayo wewe unayo.....tupo pamoja nami nitakuweka ktk dua zangu ili mambo yako yawe vile unavyotamani Inshaallah! usikate tamaa kumuomba Mwenyezi Mungu na uhangaike kujikwamua kutoka ktk hali hiyo.
Mungu ni mwema hakika atasikia kilio chako na hitaji la moyo wako.
Usikate tamaa ndugu!
asante sana
Mungu ni mwema hakika atasikia kilio chako na hitaji la moyo wako.
Usikate tamaa ndugu!
Usikate tamaa kila kitu kinawezekana hasa unapokua na Imani,kuwa mtu wa kujichanganya ila epuka makundi mabaya...Mungu akusaidie
Binti yangu nakuona upo vyema sana...hongea kwa busara na hekma zako
najitahd sana kutokufanya matendo mabaya kama wizi,utumiaji madawa,ulevi na vinginevyo nna imani hvyo ndo vitafanya nichukie zaidi maisha,pia najipa moyo kuendelea kuhangaika,ila kwa point niliyofikia ni pagumu sana,ni kama mtu akiwa anaendesha gari,mafuta yakiisha kama pesa huna safari yako inakuwa mashakani!
I BELIEVE HARDSHIP PUSHES SOMEONE TO SUCCESS...AS LONG AS YOU ARE PHYSICALLY AND MENTALLY FIT..be positive mindedno matter what...I CAN FEEL WHAT YOU ARE GOING THROUGH....NEVER LATE SUICIDE CROSS YOUR MIND....kazi ngumu sana kupata kila unapoenda hr anataka rushwa ama sivyo awe anakufahamu ndo usaidiwe,ukifikiria swala la kujiajiri mtaji hakuna,nimeshatuma maombi ya kazi zaidi ya 300,nimeishia kufanya interview 10 tu,inafka kpind hata ela ya kuprint cv,kununua stamp nakosa,eeeh mungu saidia,mbona maisha yamekuwa hivi!