Help please!

Help please!

Siku ya leo nimekuwa mpweke sana,nahangaika na kazi kwa muda mref sasa sijapata,nikichek mwaka unaisha, umri unazidi kwenda,hakuna la maana lolote nililofanya zaidi ya kuwa na afya njema tu aliyonijalia mungu,sina kipato,sina msaada,maisha ni magumu sana,nyumbani nako majirani kila kukicha masimango hayaishi,kodi ya nyumba inaisha,umeme nadaiwa,bill ya maji sijalipa,eeeh mungu nakuomba kama kuna uwezekano unifungulie njia nipate kuepuka kikombe hiki,pia nawaomba ndugu zangu humu jamvini mnipe japo neno tu la kunifanya niendelee kutamani kuishi,sina mtu yoyote wa karibu mda huu wa kunifarij hata usingizi sina!!

Masha ni foleni hivyo Mwamini Mungu ipo siku utafanikiwa
 
Pole sana, unakopitia sasa na baadhi yetu tulipitia huko. Usikate tamaa, usichoke kutafuta, na pia usiache kumuomba Mungu wako akutangulie kwenye hiyo mihangaiko yako. Wakati wake ukifika, haya yatageuka kuwa historia kwako.

Kila la kheri kwenye harakati za kupambana na maisha,

HP
 
Pole ndugu, kataa hiyo khali kwa ujasiri kabisa na mwambie Mwenyezi Mungu kuwa huitaki khali kama hiyo. Mara moja aanza hata kuzunguka hata wanajenga omba kusaidia hili jioni upate mgao. Kama una afya njema sidhani kama utakosa vibarua vidogo vidogo. Na wakati huo ukipata hiyo hela kwenye vibarua usile yote bakisha hata 1000+++ utajikuta una hata elfu kumi. Ingia hata sokoni uza hata mboga za majani usichague kazi wala biashara. Yangu ni hayo maana hali kama yako huwapata watu wengi.
 
Najua ila kataa Hali hiyo mungu ni mwema atakufungulia njia,hata Mimi nilikuwa na mawazo Kama yako ila nilikumbuka kisa cha ayubu kwenye biblia alipokuwa mgonjwa na Mali zake zote zikapotea lakini alimwamini mungu na akapona na mungu akamrudishia utajiri zaidi ni kisa hicho tu kilinifanya niendelee kupambana na maradhi.

Umeongea vyema ndugu lakini Mungu ana utukufu wake unapomtaja kwa maandishi siku zote umtukuze kwa kuanza na herufi kubwa. Kuna tofauti kubwa kati ya Mungu na mungu hauoni hata kina Kiranga wanaandika mungu
 
Last edited by a moderator:
ni neno zuri na linanipa faraja pia,niombee kwa mungu siku moja niwe na furaha kama wewe!

Nakuombea ewe ndugu kwa Mungu wa Isaka na Yakobo akufungue kutoka kwenye vifungo vyako vyote.
Kumbuka kumtukuza siku zote katika mawazo yako maneno yako na matendo pia, usikate tamaa na hata hapa unapoandika mtukuze andika Mungu si mungu
 
Pole ndugu, kataa hiyo khali kwa ujasiri kabisa na mwambie Mwenyezi Mungu kuwa huitaki khali kama hiyo. Mara moja aanza hata kuzunguka hata wanajenga omba kusaidia hili jioni upate mgao. Kama una afya njema sidhani kama utakosa vibarua vidogo vidogo. Na wakati huo ukipata hiyo hela kwenye vibarua usile yote bakisha hata 1000+++ utajikuta una hata elfu kumi. Ingia hata sokoni uza hata mboga za majani usichague kazi wala biashara. Yangu ni hayo maana hali kama yako huwapata watu wengi.

umenigusa sana,asante hili nalo pia ntalifanyia kazi
 
Nakuombea ewe ndugu kwa Mungu wa Isaka na Yakobo akufungue kutoka kwenye vifungo vyako vyote.
Kumbuka kumtukuza siku zote katika mawazo yako maneno yako na matendo pia, usikate tamaa na hata hapa unapoandika mtukuze andika Mungu si mungu

Amina hakika Mungu wetu ni mwema napata tumaini atasikia kilio changu
 
Kila jambo lina muda wake muda ukifika utapata unachokitaka japo nchi yetu imeharibika sana,Jehova atafanya kazi yake na kwake yeye haukuna asiloshindwa yote yana wezekana mtumaini yeye tu.Matayo 7:7
 
Nimekusoma Elizabeth Dominic, wakati naandika ilikuwa asubuhi ndio nimerudi mzigo..
 
Umeongea vyema ndugu lakini Mungu ana utukufu wake unapomtaja kwa maandishi siku zote umtukuze kwa kuanza na herufi kubwa. Kuna tofauti kubwa kati ya Mungu na mungu hauoni hata kina Kiranga wanaandika mungu

You just had to drag Kiranga in another mungu debate huh?

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote ameruhusu vipi Ayubu huyo aliyesemwa watoto wake wauawe, mifugo yake iuawe na yeye mwenyewe apate magonjwa ya ajabu?

Huyu ni mungu au mass murderer?

Angekuwa mwanadamu kafanya hivyo si tungempeleka mahakama ya kimataifa kwa mauaji?

Sasa kwa nini standards za morality/ ethics kwa mungu, anayetakiwa kuwa anajua yote na kuweza yote na kutupenda pasipo mfano, ziwe ndogo kuliko standards zetu wenyewe wanadamu ambao hatumkaribii hata kidogo kwa ujuzi, uwezo na upendo?

Does this make sense?
 
The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort and convenience, but where he stands at times of challenge and controversy. Martin Luther king Jr.

Usikate tamaa, we endelea kumshukuru Mungu kwa afya njema uliyonayo, hayo mengine utayapata tu, kwa yeyote mwenye bidii ya kutafuta mafanikio, kuna siku atayapata
 
Mdau Kiranga shikamoo !!
Ebu achana na hizi mambo kwa muda tumfariji na kumshauri ndugu yetu mleta uzi maana kuna tuliogoswa na maangaiko yake ni ka na sie tunapitia shida hizo hizo ka yeye
naheshimu mitazamo yako katika mwaswala yahusio Mungu ila kwa leo/hapa potezea kidogo please

1. Shikamoo salamu ya kitumwa. Siikubali.

2. Mimi sikuleta "mambo" haya katika thread hii. Nilikuwa natafuta habari tofauti exploring grub interoperability in linux bliss, ghafla naona nimetajwa kwa hyperlink. Now you know when you hyperlink Kiranga Kiranga has to say something. Kwa hiyo kama kuna mtu wa kumlaumu kwa Kiranga kutoa maoni yake ni huyo aliyenitaja na kunialika katika uzi huu.

3. Kwa mtoa mada, sidhani kama kuna watu wengi hawajapata tabu ya kutafuta kazi, ni sehemu ya ubinadamu. Kinachotakiwa ni kutafuta nyenzo zitakazokufanya uwe employable au uwe enterpreneur. Kama mfumo wetu mbovu changia kuunyoosha. Habari za kulilia mungu hazisaidii, kwa sababu mpaka sasa hakuna ushahidi kwamba yupo. Na hata kukosa kwako kazi na matumaini ni ushahidi mwingine kwamba mungu hayupo, angalau huyu tunayeambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mungu gani mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao watu wanakosa matumaini hivi? Tena wengine hata hawajafanya mabaya, wakati wengine majambazi yanaua watu jumla na rejareja lakini yanakula kuku kwa mrija, hayahitaji hata kufanya kazi kwani yana mitaji ya kutosha.

Unawezaje kunishawishi kwamba kuna mungu wakati dunia imejaa uonevu, kukosa matumaini, njaa, watoto kuzaliwa na vilema, ajali, mafuriko, vimbunga (kingine kinakuja Phillipines huko, tunaambiwa kikubwa kuliko Katrina na kitaua watu kibao na kujeruhi wengine wengi tu). Et cetera, et cetera.

Sasa unaweza kunishawishi kwamba kuna mungu anayejua yote, kuweza yote na kupenda kwa upendo usio na kifani hapa?

Au ni stories tu?

Neno "mungu" linatumiwa tu kama shorthand pale ambapo tuna maswali ambayo hatuna majibu?
 
Pole sana ndugu yangu. NI vizur uksema ulOdoma nIn labda kuna mtu humu jf anaweza kukuunganIShia japo katempo. Mungu akuangazie nuru zake.
 
Naomba nirudie tena hata ka ni ya kikoloni Kiranga shikomoo katika hili
1. Shikamoo salamu ya kitumwa. Siikubali.

2. Mimi sikuleta "mambo" haya katika thread hii. Nilikuwa natafuta habari tofauti exploring grub interoperability in linux bliss, ghafla naona nimetajwa kwa hyperlink. Now you know when you hyperlink Kiranga Kiranga has to say something. Kwa hiyo kama kuna mtu wa kumlaumu kwa Kiranga kutoa maoni yake ni huyo aliyenitaja na kunialika katika uzi huu.

3. Kwa mtoa mada, sidhani kama kuna watu wengi hawajapata tabu ya kutafuta kazi, ni sehemu ya ubinadamu. Kinachotakiwa ni kutafuta nyenzo zitakazokufanya uwe employable au uwe enterpreneur. Kama mfumo wetu mbovu changia kuunyoosha. Habari za kulilia mungu hazisaidii, kwa sababu mpaka sasa hakuna ushahidi kwamba yupo. Na hata kukosa kwako kazi na matumaini ni ushahidi mwingine kwamba mungu hayupo, angalau huyu tunayeambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mungu gani mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao watu wanakosa matumaini hivi? Tena wengine hata hawajafanya mabaya, wakati wengine majambazi yanaua watu jumla na rejareja lakini yanakula kuku kwa mrija, hayahitaji hata kufanya kazi kwani yana mitaji ya kutosha.

Unawezaje kunishawishi kwamba kuna mungu wakati dunia imejaa uonevu, kukosa matumaini, njaa, watoto kuzaliwa na vilema, ajali, mafuriko, vimbunga (kingine kinakuja Phillipines huko, tunaambiwa kikubwa kuliko Katrina na kitaua watu kibao na kujeruhi wengine wengi tu). Et cetera, et cetera.

Sasa unaweza kunishawishi kwamba kuna mungu anayejua yote, kuweza yote na kupenda kwa upendo usio na kifani hapa?

Au ni stories tu?

Neno "mungu" linatumiwa tu kama shorthand pale ambapo tuna maswali ambayo hatuna majibu?
 
Last edited by a moderator:
The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort and convenience, but where he stands at times of challenge and controversy. Martin Luther king Jr.

Usikate tamaa, we endelea kumshukuru Mungu kwa afya njema uliyonayo, hayo mengine utayapata tu, kwa yeyote mwenye bidii ya kutafuta mafanikio, kuna siku atayapata

asante sana,ushauri mzuri pia
 
Pole sana ndugu yangu. NI vizur uksema ulOdoma nIn labda kuna mtu humu jf anaweza kukuunganIShia japo katempo. Mungu akuangazie nuru zake.

nimesoma Bachelor of science in procurement and supply chain management,GPA ni 3.8
 
1. Shikamoo salamu ya kitumwa. Siikubali.

2. Mimi sikuleta "mambo" haya katika thread hii. Nilikuwa natafuta habari tofauti exploring grub interoperability in linux bliss, ghafla naona nimetajwa kwa hyperlink. Now you know when you hyperlink Kiranga Kiranga has to say something. Kwa hiyo kama kuna mtu wa kumlaumu kwa Kiranga kutoa maoni yake ni huyo aliyenitaja na kunialika katika uzi huu.

3. Kwa mtoa mada, sidhani kama kuna watu wengi hawajapata tabu ya kutafuta kazi, ni sehemu ya ubinadamu. Kinachotakiwa ni kutafuta nyenzo zitakazokufanya uwe employable au uwe enterpreneur. Kama mfumo wetu mbovu changia kuunyoosha. Habari za kulilia mungu hazisaidii, kwa sababu mpaka sasa hakuna ushahidi kwamba yupo. Na hata kukosa kwako kazi na matumaini ni ushahidi mwingine kwamba mungu hayupo, angalau huyu tunayeambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mungu gani mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao watu wanakosa matumaini hivi? Tena wengine hata hawajafanya mabaya, wakati wengine majambazi yanaua watu jumla na rejareja lakini yanakula kuku kwa mrija, hayahitaji hata kufanya kazi kwani yana mitaji ya kutosha.

Unawezaje kunishawishi kwamba kuna mungu wakati dunia imejaa uonevu, kukosa matumaini, njaa, watoto kuzaliwa na vilema, ajali, mafuriko, vimbunga (kingine kinakuja Phillipines huko, tunaambiwa kikubwa kuliko Katrina na kitaua watu kibao na kujeruhi wengine wengi tu). Et cetera, et cetera.

Sasa unaweza kunishawishi kwamba kuna mungu anayejua yote, kuweza yote na kupenda kwa upendo usio na kifani hapa?

Au ni stories tu?

Neno "mungu" linatumiwa tu kama shorthand pale ambapo tuna maswali ambayo hatuna majibu?

nimepokea ushauri na nionalo zuri katika ushauri huu nitalifanyia kazi,asante
 
babu wa loliondo alifanikiwa akiwa na miaka 70+, muda wako ukifika yatakaa sawa. Haimaanish ulale usubir muda ufke kwani hujui ilivyo kesho yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom