ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
- Thread starter
- #61
babu wa loliondo alifanikiwa akiwa na miaka 70+, muda wako ukifika yatakaa sawa. Haimaanish ulale usubir muda ufke kwani hujui ilivyo kesho yako.
nimecheka sana,umesababisha asubuh yangu ianze vizuri,kweli mfano wako uliotumia ni mzuri,ila mafanikio ukiwa kijana nayo ndo inapendeza zaidi au sio?