Help: Natafuta APC(Armored personnel Carrier)

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,436
Wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwenye kujua wapi naweza kupata hicho kifaa al-maarufu kama APC hasa kwa upande wa Tz asaidie na hakika itapendeza sana. kwa kifupi, kuna blacksmith wanachonga hizo tools lakini ni huko libya...na sina uhakika kwingineko.
natanguliza shukrani
syria-2.si.jpg

upload_2017-12-20_5-8-0.png
 
Open main menu
wikipedia-wordmark-en.png

UArmoured personnel carrier

An M113, one of the most common tracked APCs, during the Vietnam War

The GTK Boxer of the German Armyis an example of a modern APC and is equipped with a remote weapon station
An armoured personnel carrier (APC) is a type of armoured fighting vehicle (AFV) designed to transport infantry to the battlefield. APCs are colloquially referred to as 'battle taxis' or 'battle buses', among other things. Armoured personnel carriers are distinguished from infantry fighting vehicles by the weaponry they carry.

The Treaty on Conventional Armed Forces in Europedefines them as "an armoured combat vehicle which is designed and equipped to transport a combat infantry squad and which, as a rule, is armed with an integral or organic weapon of less than 20 millimetres calibre."[1] By convention, they are not intended to take part in direct-fire battle, but are armed for self-defence and armoured to provide protection from shrapnel and small arms fire.

Examples include the American M113, the French VAB, the German-Dutch GTK Boxer and the Soviet BTR.
 
Armoured personal carrier ni gari lolote la kubeba askari ambalo haliingiwi risasi,yaani limetengezwa in a way kwamba hatari ya kupigwa risasi ukiwa ndani yake ni ndogo sana,japo unaweza wewe kuimprovise landrover lako ukalisuka likawa armoured,
nijuavyo ile inayokuwa na mtutu inaitwa Fighting Amoured Vehicle,

Amoured Personal carrier kazi yake ni kuship troops from one point to another with minimum exposure to enemy fire
 
Asante mkuu kwa kudadavua. ila mimi natafuta hiyo shield ya kuzuia Risasi, inayokuwa connected na Bunduki. Nimezikuta Libya, ila usafirishaji wake ndo issue. sijui kwa kitaalam wanaitaje, though wengi wana-generalize into APC
 
bullets proofs
 
ThreadHii Imejaa Ukakasi Yaani Ununue Hiyo Uilete Tanzania Bora Ukatumie Libya Ulipoziona
Hahah...with Literal interpretation, thread itaonekana yenye ukakasi.... lakini jiulize uko salama kwa kiwango/kiasi gani? je wanaokulinda unawajua? je maadui wa nchi yako unawajua? Unajua waasi wa ADF walitumwa na nani kuwauwa ASKARI/WANAJESHI WA TANZANIA?...anyway, nikutakie maandalizi mema ya sikukuu ya Noel...bless up
 
Haa
Mkuu
Tanzania Ina Utaratibu Wake Kwa Upatikanaji Wa HHiyo Kitu Vipo Vyombo Vilivyopewa Dhamana Kutulinda Ila Ulinzi Unaanza Na Wewe Mwenyewe Ila Siyo Kwa Magari Hayo

Nunua Gari Yoyote Bullet Proof Ila Siyo Hayo Ambayo Serikali Ya Viwanda Inawajibika Nayo
Tuzidi Kumuomba Mungu Ni Mwema Sana
Tuione Noel
 
Naitwa Jeremiah kashililika A.K.A Pux Pyzah nahitaji kazi kama kuna uwezekano wa kupata Nina ujuzi wa kutumia kompyuta pia Microsoft office, kupromote website na blog, kutengeneza blog na ku publish post Ku control na Ku manage social medias Ku promote YouTube channel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwenye kujua wapi naweza kupata hicho kifaa al-maarufu kama APC hasa kwa upande wa Tz asaidie na hakika itapendeza sana. kwa kifupi, kuna blacksmith wanachonga hizo tools lakini ni huko libya...na sina uhakika kwingineko.
natanguliza shukrani
syria-2.si.jpg

View attachment 655560
Hili dude unatafuta la nini ndugu, umeanzisha kikosi cha waasi?
 
Back
Top Bottom