voda inaboa bana iko very slow ,kuna jukwaa moja la mambo haya
Kwani rahisi ni zipi?
E bwana ee wewe hujui kuna sasatel ukiweka bundle la 40 unaweza tumia hata mwezi mzima au miwili kabisa nzuri sanaair tel ndio kidogo huduma zake rahisi ukilinganisha na voda
voda inaboa bana iko very slow ,kuna jukwaa moja la mambo haya
E bwana ee wewe hujui kuna sasatel ukiweka bundle la 40 unaweza tumia hata mwezi mzima au miwili kabisa nzuri sana
jukwaa hilo ni lipi mama, emu tuambie na sisi
mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran
Nenda jukwaa la Tech,Science wameshaelekeza namna ya kuchakachua.mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran
Pole sana hii sasatel ni kibokommh sasa teli? wengine tupo vijijini sasa tel haikamati mbaka upande juu ya mlima kama sio juu ya mti
mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran