This account cannot use WhatsApp

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Wanajukwaa Habari za Jioni, Naombeni msaada wenu ili niweze kutumia WhatsApp Account yangu ambayo imefungiwa na WHATSAPP team kwa Sababu ya ku violate Terms za services zao. Nikiri tu nimekuwa natumia Application ambayo si rasmi kwa kumaanisha hizi Fm WhatsApp na GB WhatsApp, nimeambatanisha picha hapo chini pamoja na post hi ujumbe ninao upata kila nikitaka ku access account yangu ya whatspp. Ujumbe huu unasema .THIS ACCOUNT CANNOT USE WHATSAPP.

Natanguliza shukrani zangu.
Screenshot_20231227-120440.jpg
 
Wanajukwaa Habari za Jioni, Naombeni msaada wenu ili niweze kutumia WhatsApp Account yangu ambayo imefungiwa na WHATSAPP team kwa Sababu ya ku violate Terms za services zao. Nikiri tu nimekuwa natumia Application ambayo si rasmi kwa kumaanisha hizi Fm WhatsApp na GB WhatsApp, nimeambatanisha picha hapo chini pamoja na post hi ujumbe ninao upata kila nikitaka ku access account yangu ya whatspp. Ujumbe huu unasema .THIS ACCOUNT CANNOT USE WHATSAPP.

Natanguliza shukrani zangu.View attachment 2854721
๐Ÿ˜‚ Demi
 
Jaribu kuaccess WhatsApp Gb account
 
Andika email kwenda whatsapp ukieleza simu yako ilikuwa hacked na sasa umefanikiwa kuirudisha mara baada ya kufanya mawasiliano na mtandao wako.
Omba waifungue whatsapp yako

Sent from my 220733SFG using JamiiForums mobile app
Mi natumia "Yowhatsapp". Mwanzoni mwa mwezi huu, nilifungiwa. Nikaandikiwa, kama alivyoandikiwa jamaa. Nami nikawajibu kuwa, sijafanya kosa lolote, kama lipo waniambie. Nikawaomba wanifungulie. Baada ya masaa kadhaa, wakanifungulia.
Kuna mtu kashauri, ufungue ac nyingine kwa namba nyigine, kisha uje ubadirishe namba kwa kuirudisha ya mwanzo. Mi nilijaribu, ile namba ilikataa.
 
Back
Top Bottom