Tatizo sie wa bongo huwa hatupendi ukweli kabisa, tunataka sana kujifanya watasha, hatupendi kuishi maisha yetu kabisa! We always want to live artificial lives, me I hate this!! If I can just you guy a qn, what do you understand the so called ''Ndoa''? Najua utajikanyaga kanyaga tu bila kunipa ukweli of halisi wa NDOA!!
Eti unasema, kumzalisha unampunguzia heshima? mimi sikuelewi kabisa, ndo maana nakwambia uko too artificial!! Understand kwamba, mtoto uliye zaa siyo wa kwako peke yako, kila mmoja hufurahia ujio wake, lakini mlio wengi husemi mtoto wa mwanaume! This is totally wrong!!
Halafu kijana unaonekana huishi na mwanamke. For ur info, mkeo unayeishi naye hawezi hata siku moja kuwa chombo cha starehe kama unavyo fikiria......! Hiyo starehe unayosema, ni kasehemu kadogo sana kny maisha ya wiwili!!
Try 2 b real men!! Hivyo ndivyo waswahili tulivyo!!
kama mwanamke anaruhusiwa kutoa mahali... basi mimi ningeenda kutoa! Lakini hizi mila zetu za ajabu hazitaniruhusu.
Ahsanteni wote kwa maoni yenu. Kuna maoni mbali mbali na kwa kweli mengine mpaka yamenichanganya! Lakini sio mbaya, nimefurahi sana kupata mawazo mengi kwenu.
Naona tuishie hapa kwa sasa. Nitawajulisha kitakachoendelea.
Mungu awabariki.
Kwa hiyo umekukubali ushauri wangu na utanitafuta eeeh!!Ahsanteni wote kwa maoni yenu. Kuna maoni mbali mbali na kwa kweli mengine mpaka yamenichanganya! Lakini sio mbaya, nimefurahi sana kupata mawazo mengi kwenu.
Naona tuishie hapa kwa sasa. Nitawajulisha kitakachoendelea.
Mungu awabariki.
Ahsanteni wote kwa maoni yenu. Kuna maoni mbali mbali na kwa kweli mengine mpaka yamenichanganya! Lakini sio mbaya, nimefurahi sana kupata mawazo mengi kwenu.
Naona tuishie hapa kwa sasa. Nitawajulisha kitakachoendelea.
Mungu awabariki.
siko tayari kutafuta mtu mwingine manake wanaume wa kibongo kwa kweli they are just impossible. better the devil i know.... i just need to learn the skills of being mvumilivu.
Trust me hapo hakuna ndoa kabisaaa....unapoteza muda wako tu. Mi nakwambia nimepata demu hata miezi sita haijafika lakini akiwa tayari hata kesho ntamuoa. Nampenda kuliko maelezo, lakini ukweli hapo nyuma nilishawapiga sana watoto wakike kalenda tena mmoja nilikaa nae zaidi ya miaka 4 mzee nakula gud time wait for the right one.
Kama kweli jamaa kakolea hana sababu ya kukuzingua. Mi navyokwambia huyo mtoto hata kumuonja bado lakini ndo nimefika hapo. Yaani tabia zake zimenitosha kumkabidhi jukumu la kuwa mama wa watoto wangu na kila kitu, ni mpole, msikizivu, mvumilivu, hajawahi hata siku moja kukasirika pamoja na kumweka wazi kuhusu maisha yangu ya hapo nyuma na kuna siku niliwahi kumwomba anipe muda ili nimalizie vimeo vyangu vichache. Na yuko bomba si kitoto, pia mtoto ndo kwanza nafungua njia.
Habari ndo hiyo, we kula gud time ila acha nafasi wazi...u never know.

Naona mtoa mada kaamua kukimbia..lol
MODS nafikiri inabidi mtoe adhabu kali kwa yeyote, kama alivyofanya huyu mdada. Anaonekana si mstaarabu. Ikumbukwe kuwa mtu anapoanzisha thread watu wanawekeza muda kuchangia na kusoma michango ya wengine. Wafaidika si tu anakuwa muanzisha thread bali kila mwana jamvi. Hivyo si vyema muanzisha mada kwenda kufuta post # 1. Huku ni kulidhalilisha jamvi na wanajamvi kwa ujumla, wachangiaji kwa wasomaji.
Kama muanzisha thread alitaka kuwa discreet angeweza kufanya hivyo bila ya kuathiri mwenendo wa thread.
my 2 cents..

Mie niliwaambia hicho kicheche mkaniona namtusi...........nakweli!... jana nilipitia haraka haraka nikaona jn ka-delete some posts, but didnt take much notice alikuwa ana delete kwa bahati mbaya ama makusudi...
jn, tafadhali lipe jukwaa heshima yake. BTW, 'jn' you are anonymous, iweje unakimbia kivuli chako? Truth hurts, weka tu yanayokusibu watu wakushauri au wakukosoe hapa.
kama huna kifua, bakia msomaji tu!
Vip kuhusu kufahamu ndugu zake kama dada na kakas alishakuonyesha? Still miaka miwili sio mingi sana kiasi kwamba ulilie kuolewa my dear! Others inachukua hadi 5 years katika relation but that it's not a issue! Jaribu kumweleza hili na unavyojisikia, jaribu kumwelewa mwenzako why he don't want to marry you at this time? the kuwa mvumilivu may be anapima uvumilivu wako katika mambo yanayohusu maisha yenu! Ukiwa na papara you'll miss that chase of being with a good husband! Usikimbilie kuwa ana kuchezea kama ingekuwa nia yake ni hiyo angekutema zamani hata hiyo miaka miwili usingefika!Jamani naomba mnisaidie. Roho yangu inauma.
I have been with a guy for 2 years now. mimi niko tayari kufunga ndoa nae and i think we have a very good and supportive relationship. lakini nikianza kuongea kuhusu kufunga ndoa ananiambia hajaamua. what does this mean? does it mean hayuko tayari au hajaamua kuniona mimi? mimi naona kama ananichezea tu. najua ananipenda lakini naona hataki kuniona kwa sababu fulani. i wish i had the enough courage to leave him ili nitafute mtu mwingine who wants the same thing as me.
nawaomba mnisaidie jamani, yani roho inauma kweli manake nampenda kweli huyu jamaa. sijui nifanyeje.
Ndugu yangu jn, kuna baadhi ya wanaume wanapenda kuwachezea tu wadada. Hivyo kuwa makini na huyo jamaa, usimvulie nguo huyo hadi akuoe. Kama hataki kukuoa basi huyo mchezeaji, na hii tabia ipo sana kwa vijana wa kileo wengine wanakuja na gia nitakuoa kumbe anataka mchezo tu, usipokuwa makini kila mtu atakudokoa. Hivyo kuwa makini naye, na ww usimlazimishe akuoe. Ukiona hana mwelekeo na ww, amua kumuacha tu maana hakuna kupotezeana muda.Jamani naomba mnisaidie. Roho yangu inauma.
I have been with a guy for 2 years now. mimi niko tayari kufunga ndoa nae and i think we have a very good and supportive relationship. lakini nikianza kuongea kuhusu kufunga ndoa ananiambia hajaamua. what does this mean? does it mean hayuko tayari au hajaamua kuniona mimi? mimi naona kama ananichezea tu. najua ananipenda lakini naona hataki kuniona kwa sababu fulani. i wish i had the enough courage to leave him ili nitafute mtu mwingine who wants the same thing as me.
nawaomba mnisaidie jamani, yani roho inauma kweli manake nampenda kweli huyu jamaa. sijui nifanyeje.
helow,, upo utusimulie kama alikuoa au uli move on,,, kumbe vijana wa hovyo walikuepo toka enzi za kale saivi ni muendelezo tuJamani naomba mnisaidie. Roho yangu inauma.