Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,838
NATANGULIZA SALAMU KWENU WAKUU.
pc yangu inakabiliwa na changamoto ni window 7 lakini theme yake imekuwa blank(black) page na inaonesha kuwa sio genuine tafadhali naomba msaada na kuelekezwa namna ya kupata genuine window 7,ikiwa free nitafurahi sana,.
ninawashukuru kwa mara nyingine tena!