Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Dada hapa unatia aibu...kwanza kumbuka maandiko kama ww mkristo kwamba Mungu alimuumba Adam....na akaona vyema akamtaftia msaidizi....haya ww bidada kwel unajipinda kuandika thread huwez mfulia mumeo pich* kweeeel...
Dada jitume coz nyumba ndogo zinakunyemelea kama fisi aliyeona fupa...
Hiiiiiiiiiiiiiiiiii haya majanga sasa!!
Yaani kufua chupi ya mwanaume nalo ni jukumu la mkewe? Aaaa salalaaaaa!!!
Vitu vingine ni favour, na vinafanywa kwa mapenzi tu!