you are not serious my dear, do you think marriage is only ceremony, it's more than that, it's ur duty to make sure that your husband looks smart always. Wanaume wengine humsadia mkewe kazi ndogo ndogo lakini ujue kuwa anakusaidia, kufua underwear we unaona shida gani sasa jamani, do you really love him!!
Hivi hukufundishwa kwenye kitchen party? au siku hizi ndio mnakusanya vyombo tu halafu basi!! hata wale wazee wenye busara huwa wanafundisha mambo hayo kabla hata ya kitchen party, hayo ndiyo mafundisho ya ndani, sasa mwenzetu hukufundishwa wewe au uliyaacha huko huko? acha kututia aibu hapa ndoa yenyewe ndio kwanza asubuhi, mambo mengine si ya kuleta hapa ungepaswa hata kumuuliza msimamizi wako akakusaidia au ndio ulisimimamiwa na rafiki yako ambaye na yeye hajui chochote!
Huo ni wajibu wako na si utumwa kama unavyofikiri, nitafute nikufunde upyaaaaaaaa