Helow JF members

Shao_dar

New Member
Aug 7, 2019
4
1
Naitwa Jose Nipo Daslam nafurahia kujiunga humu
Kwani niliufahamu tangia mtandao huu
Hivyo sasa nimeamua kuomba kujiunga na JF, Nashukuru kujumuika na nyinyi wapendwa.
 

Attachments

  • 2019-08-05-14-24-58.png
    2019-08-05-14-24-58.png
    221.8 KB · Views: 19
Mkuu weka picha ambayo umepiga full mwili mzima, afu humu tunatabia ya kutembeleana nitakuita sehemu mkuu wangu uje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom