Jemimah cindy New Member Joined Jul 1, 2021 Posts 0 Reaction score 53 Jul 1, 2021 #1 Helo am new here, naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara, asanteni
Helo am new here, naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara, asanteni
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,209 Reaction score 1,521 Jul 1, 2021 #2 Waooh welcome
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,209 Reaction score 1,521 Jul 1, 2021 #3 Kilichokufanya ujiunge JF nini
Jemimah cindy New Member Joined Jul 1, 2021 Posts 0 Reaction score 53 Jul 1, 2021 Thread starter #4 Whackiest said: Kilichokufanya ujiunge jf nn Click to expand... Sababu ni hiyo nlioielezea hapo kwa post ya, awali
Whackiest said: Kilichokufanya ujiunge jf nn Click to expand... Sababu ni hiyo nlioielezea hapo kwa post ya, awali
C copernicucci98 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 1,232 Reaction score 2,377 Jul 1, 2021 #5 Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand... Karibu sana. Kwani kwa hili jukwaa umepost vipi? Attach files Jemimah Cinthia
Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand... Karibu sana. Kwani kwa hili jukwaa umepost vipi? Attach files Jemimah Cinthia
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Jul 1, 2021 #6 Mwanamke au mwnmme
Jemimah cindy New Member Joined Jul 1, 2021 Posts 0 Reaction score 53 Jul 1, 2021 Thread starter #7 Deejay nasmile said: Mwanamke au mwnmme Click to expand... Jina langu lajielezea
Jemimah cindy New Member Joined Jul 1, 2021 Posts 0 Reaction score 53 Jul 1, 2021 Thread starter #8 copernicucci98 said: Karibu sana. Kwani kwa hili jukwaa umepost vipi? Attach files Jemimah Cinthia Click to expand... Natafuta la busness
copernicucci98 said: Karibu sana. Kwani kwa hili jukwaa umepost vipi? Attach files Jemimah Cinthia Click to expand... Natafuta la busness
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,786 Reaction score 40,477 Jul 1, 2021 #9 Karibu. Tungependa kujua umri wako? Umeolewa? Una watoto wangapi? Jibu liambatane na picha yako na no ya simu karibu sana.
Karibu. Tungependa kujua umri wako? Umeolewa? Una watoto wangapi? Jibu liambatane na picha yako na no ya simu karibu sana.
Jemimah cindy New Member Joined Jul 1, 2021 Posts 0 Reaction score 53 Jul 1, 2021 Thread starter #10 RReigns said: Karibu. Tungependa kujua umri wako? Umeolewa? Una watoto wangapi? Jibu liambatane na picha yako na no ya simu karibu sana. Click to expand... 35yrs Nimelewa Ni mchungaji Nina mtoto 1 Kupist picha bado sijajua
RReigns said: Karibu. Tungependa kujua umri wako? Umeolewa? Una watoto wangapi? Jibu liambatane na picha yako na no ya simu karibu sana. Click to expand... 35yrs Nimelewa Ni mchungaji Nina mtoto 1 Kupist picha bado sijajua
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,650 Jul 1, 2021 #11 Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand... Nani kakudanganya Jf kuna wateja?
Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand... Nani kakudanganya Jf kuna wateja?
njoo kwetu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 801 Reaction score 1,799 Jul 1, 2021 #12 Kwanza tueleze katiba ni nini ?? Na unaushari gani kwa serikali kwa katiba hii ya sasa ?? Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand...
Kwanza tueleze katiba ni nini ?? Na unaushari gani kwa serikali kwa katiba hii ya sasa ?? Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand...
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,786 Reaction score 40,477 Jul 1, 2021 #13 Jemimah cindy said: 35yrs Nimelewa Ni mchungaji Nina mtoto 1 Kupist picha bado sijajua Click to expand... Asante kwa majibu, Tunapitia wasifu wako baada ya masaa 24 tutakupa majibu kama unaruhusiwa kuendelea kutumia JF ama laaah... Swali la ziada, unatumia tecno?
Jemimah cindy said: 35yrs Nimelewa Ni mchungaji Nina mtoto 1 Kupist picha bado sijajua Click to expand... Asante kwa majibu, Tunapitia wasifu wako baada ya masaa 24 tutakupa majibu kama unaruhusiwa kuendelea kutumia JF ama laaah... Swali la ziada, unatumia tecno?
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,786 Reaction score 40,477 Jul 1, 2021 #14 njoo kwetu said: Kwanza tueleze katiba ni nini ?? Na unaushari gani kwa serikali kwa katiba hii ya sasa ?? Click to expand... Mkuu bado yuko hatua ya awali haya maswali ni ya hatua ya tatu. Tusimuoverdose.
njoo kwetu said: Kwanza tueleze katiba ni nini ?? Na unaushari gani kwa serikali kwa katiba hii ya sasa ?? Click to expand... Mkuu bado yuko hatua ya awali haya maswali ni ya hatua ya tatu. Tusimuoverdose.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,987 Reaction score 189,568 Jul 1, 2021 #15 RReigns said: Asante kwa majibu, Tunapitia wasifu wako baada ya masaa 24 tutakupa majibu kama unaruhusiwa kuendelea kutumia JF ama laaah... Swali la ziada, unatumia tecno? Click to expand...
RReigns said: Asante kwa majibu, Tunapitia wasifu wako baada ya masaa 24 tutakupa majibu kama unaruhusiwa kuendelea kutumia JF ama laaah... Swali la ziada, unatumia tecno? Click to expand...
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,361 Reaction score 12,322 Jul 1, 2021 #16 Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand... Habari ya kwako naomba ombi la kuwa rafiki yako kwenye shida na raha Sent using Jamii Forums mobile app
Jemimah cindy said: Helo am new here,naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara,asanteni Click to expand... Habari ya kwako naomba ombi la kuwa rafiki yako kwenye shida na raha Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,682 Reaction score 51,382 Jul 1, 2021 #17 kurlzawa said: Nani kakudanganya Jf kuna wateja? Click to expand... Dah tupo mkuu
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,650 Jul 1, 2021 #18 Mtoto halali na hela said: Dah tupo mkuu Click to expand... Nunua sasa
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,682 Reaction score 51,382 Jul 1, 2021 #19 kurlzawa said: Nunua sasa Click to expand... Ngoja apandishe picha
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,494 Reaction score 108,851 Jul 5, 2021 #20 Karibu sana JamiiForums...