Hellow wana cc

Ni wakati wangu sasa kukukaribisha na kukupetipeti..uwezi jua nikaacha pombe kwa ajili yako karibu sanaaa.:A S 41:
 
Ni wakati wangu sasa kukukaribisha na kukupetipeti..uwezi jua nikaacha pombe kwa ajili yako karibu sanaaa.:A S 41:

asante sana, me kwangu mbona pombe utaacha mwenyewe we tulia tu!!!
 
haaaa......!!!huyo hapo juu kadhani nina id mbili thats why nimemwambia "am pure new here"!!!"

Ahaaa.. Nashukuru kwa maelezo mazuri.. Hii ilikuwa tungo tata tatizo tinna cute..
BTW ana shaka unaweza kuwa one of his exes na u want to get back at him.. Ana majanga huyo kiumbe anaeitwa Bishanga.. We acha tu..
 
Last edited by a moderator:
Ahaaa.. Nashukuru kwa maelezo mazuri.. Hii ilikuwa tungo tata tatizo tinna cute..
BTW ana shaka unaweza kuwa one of his exes na u want to get back at him.. Ana majanga huyo kiumbe anaeitwa Bishanga.. We achaa tu..

oooooh! it might be who knows???? hayo majanga me ntayavuruga......
 
Last edited by a moderator:
mmmhhhh!
rafiki yangu The Boss umeona hii?
yule mwingine unayemshangaaga anaitwa nani vile?
hii ndo jf...... never boring
 
Last edited by a moderator:
umeshakaribishwa teyari,karibu ukaribie upewe kiti ukalie na kitako utulie.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…