Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Dear JF members tunamshukuru Mungu tumetoka salama mbugani bila kwere wala Mwita Maranya I miss u 2 I wish ungekuwepo leo, naona kuna members wanamiss Wise Lady na Derimto cjui tumewaacha getini? PJ du ze nidiful.
Ok ok!wapwa na mabinumuz infideletors and infideletees habari zenyu bana! Nipo busy kiria guest house! Tumekuja arusha wing, as from here tutakua dodoma wing then lake wing tutamalizia southen highland wing! Hii ni kwa niaba ya headqouters! Hii ni unstopable!
we finest ebu nipe samar kwanza
duh, kumbe humu kuna oportunity mpaka za utalii? just count me present mwakani. kwa kweli napenda sana kutembelea vivutio vya utalii
Hongereni sana, jamii ya JF ikiwa hivi inapendeza sana. Tunaomba picha tafadhali.
Wakuu wa Arusha, PJ, Preta, Derimto, Hmethod, Wiselady, lilflower, Sahara Voice, Freetown, chipukizi, youngest JF member G, etc nimefurahi sana kujumuika nanyi kwa safari na vyote. ilikuwa nzuri sana. usiku nilipotea kutafuta nyama choma na kuchek game ya arsenal vs chelsea. Wiselady usisahau safari yetu. badae mchana narudi kijijini kwetu.
Thanx all Gud Job, ngoja niwahi supu

Mimi yangu macho, sijui kama utampata wiselady leo maana Kimey aligandia kama gundi jana