Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,748
- 91,814
kama ni hivo sawa, ila kumbuka hizo ni theory tu!!
nani angetabiri daud kumuangusha goliath?
sina uhakika wa hili lakin naamin wataanguka
Daudi kumuangusha Goliath au sio ??. Sawa but sure hamna Taifa litakaloweza kuingusha US unless ijiangushe yenyewe from within !!.
