Kwangu mimi nadhani hatua ya kwanza ni kuripoti Polisi ili hizo dokumenti zisijetumika na watu wabaya, au uende mamlaka zilizokupa wakupe maelezo ya jinsi ya kufanya.Hey wapendwa wa JF naombeni msaada wenu nimepotelewa na ofa ya nyumba pamoja na cheti ya kifo cha baba ,naombeni msada namna ya kuvipata vingine.Najua humu kunamanguli wa mambo kama haya wanaweza kushauri kitu ni wapi naweza pata hizi nyaraka please