Hello ,Nimepoteza dokumenti zifuatazo naomba msada

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,269
2,000
Hey wapendwa wa JF naombeni msaada wenu nimepotelewa na ofa ya nyumba pamoja na cheti ya kifo cha baba ,naombeni msada namna ya kuvipata vingine.Najua humu kunamanguli wa mambo kama haya wanaweza kushauri kitu ni wapi naweza pata hizi nyaraka please
 
proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,269
2,000
Mod naomba kufanyiwa marekebisho ya kichwa cha habari please.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,235
2,000
Hey wapendwa wa JF naombeni msaada wenu nimepotelewa na ofa ya nyumba pamoja na cheti ya kifo cha baba ,naombeni msada namna ya kuvipata vingine.Najua humu kunamanguli wa mambo kama haya wanaweza kushauri kitu ni wapi naweza pata hizi nyaraka please
Kwangu mimi nadhani hatua ya kwanza ni kuripoti Polisi ili hizo dokumenti zisijetumika na watu wabaya, au uende mamlaka zilizokupa wakupe maelezo ya jinsi ya kufanya.
 
Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,778
2,000
Katoe taarifa polisi. Ila wakikuambia toa hela kidogo tukuaaidie kuzitafta usikubali..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom