Hello naomba msaada

Hapo Dodoma alikuwa akiishi na nani hana hata rafiki au ndugu au mtu wake wa karibu mfanye mawasiliano nae.
 
Sijakuelewa,lakini umenikumbusha kuna dada akiwa hukohuko Dodoma alikamatwa na polisi wakampa kesi ya uraia ila polisi Mungu anawaona🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kesibyavuraia ikoje?
 
Huu mtego siingi alisema Palamagamba Kabudi Prof kutoka jalalani.
😹😹😹 Da Mau ana vichambo huyo..!!
Kuna kipindi alimwambia member mmoja eti kachoka km khanga ya balozi wa nyumba kumi..!!
 
Aliibiwa simu,matapeli yanaitumia kujinufaisha,kaeni kimya mpaka pale atakapowatafuta yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…