SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,141
- 9,692
Hajasema mkuu ndio shidaa sasa sisi hatuna wakumwambia maana hajatupa mtu wake wakaribu na tupo mbaliAlikuambia yupo kituo gani mkuu ?
Duh kinda trick!
Hatujui na sisi huko niwageni hatujui tuanzie wapialikamatwa kwa kosa gani?
Wageni kivipi?Hatujui na sisi huko niwageni hatujui tuanzie wapi
HApana ni mtu mzima kabisa na baada ya hapo hapatikani ndio hofu yenyewe
Tupo Arusha hatupo hukoWageni kivipi?
kwann msiende kituo cha police chochote
There is something wrongHApana ni mtu mzima kabisa na baada ya hapo hapatikani ndio hofu yenyewe
Nakutumia namba ya Mafwele au unaonaje ?HApana ni mtu mzima kabisa na baada ya hapo hapatikani ndio hofu yenyewe
Nakutumia namba ya Mafwele au unaonaje ?
Yaani hapo Kuna mtu at anasa sio punde 😂Kama alikutajia kituo fanya kwenda au kutuma watu ujue shida ni nini na ni nini utatakiwa kufanya
Msimtafute yupo kwenye mikono salama kuliko hata angekuwa nyumbani kwake.Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate .
Maana hapatikani kwenye simu.
Tunaomba msaada maana hii ni serious . Mimi napendaga matani ila naombeni msaada tafadhali.
Asante.