Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Hapo kwa Arusha moko ulipitiwa au wakati unaandika king'amuzi kwenye ubongo kilikuwa kimerudi analojia?
Mkuu hebu shtuka kidogo hapa Invizibo kafanya ID's merging....huyu juzi alikuja jukwaani hapa kama aviator...angalia post ya kwanza toka kwa Katavi
Jana nilimuuliza swali la kizushi hahah akajichanganya...na Invizibo hakufanya ajizi...
Mkuu humu mambo ni mengi mpaka nashangaa! Jana wengine tulisingiziwa ni matapeli kwenye PM. Namuachia MUNGU tu.

Pole sana King Mswati..... Si wewe pekeyako! Wengine tukianza kusimulia maswahibu yalotupata humu utasema lako ni cha mdoli.....
kuna baadhi ya ids hapa zinanitamanisha
Passion Lady
Paloma
Lady doctor
Arushaone
Chocs
Madame B
everlyn salt
The secretary
Come ladies and pm me
watu8 tonykp ni ID ya pili kaweka mwaka jana mwishoni na aviator ya tatu na bado ile ya sunguramtoto akajidai eti anamtuhumu tonykp kamwibia mke na kuwahususisha wakina Arushaone PakaJimmy na Erickb52 kumbe anania yake. Bishanga njoo umuone aliyemtuhumu mtoto wetu manoahh kavuliwa nguo hadharani hadi pichu
The secretary huyu saizi yake ni manoah
hivi mumeo ndo kachukuliwa na yule bi shosti anayejiita jina la mrs au ni masihara tu.
huyu ndiye yule majaribu2013
Kanivunja mbavu mie.... khaaa... sipati picha Mswati akiiona hii, tuandae magari ya maji ya kuwasha..hapatatosha...
Pole sana King Mswati..... Si wewe pekeyako! Wengine tukianza kusimulia maswahibu yalotupata humu utasema lako ni cha mdoli.....
Hahah tatizo mkuu watu huwa wanalinganisha maisha ndani ya JF na yale nje ya hapa...wanadhani yanafanana.