hello everyone ......

hello everyone ......

Tonykp

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
1,642
Reaction score
680
Hodi kwenu....mimi mgeni hapa...ningependa kumuomba mwenyekiti wenu anitambulshe kwenu nyote...nina interests sana na single ladies,tafadhali jitokezeni bila woga....pia kama mwenyekiti wenu akini ozesha sio mbaya pia...haya sasa wanja ni wenu....asanteni
 
Baba V njoo na single ladies wote wa hapa chit chat.
 
Last edited by a moderator:
Mbona unakuja mbio mbio na kimuhemuhe kama breki ya ndege...
Hebu kwanza anza kutoa shikamoo kwa wakubwa...alaaah!!
 
Hodi kwenu....mimi mgeni hapa...ningependa kumuomba mwenyekiti wenu anitambulshe kwenu nyote...nina interests sana na single ladies,tafadhali jitokezeni bila woga....pia kama mwenyekiti wenu akini ozesha sio mbaya pia...haya sasa wanja ni wenu....asanteni

kabla ya yote njoo nikufanyie ukaguzi kwanza
 
Arushaone eeeeeh.........!!!!! njoo huku, Tonykp kaleta posa....

Mkuu hebu shtuka kidogo hapa Invizibo kafanya ID's merging....huyu juzi alikuja jukwaani hapa kama aviator...angalia post ya kwanza toka kwa Katavi
Jana nilimuuliza swali la kizushi hahah akajichanganya...na Invizibo hakufanya ajizi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom