Hela ya mwanamke

Hela ya mwanamke

Asante, mtu mmeoana miaka 10 imepita hajawahi nnua hata kijiko na kila siku anaviona ndani anahisi vinaota 🤣 kazi kusema pesa yako inaenda wapi
Kwahiyo 10 yrs wewe n kununua vijiko tu, au umemaanisha vijiko vya kujengea barabara?

Vijiko hivi hivi dazeni tsh 1,200/= ?
 
Mleta mada bado immature, hivyo vyote vinanunuliwa kwenye hela yako ya matumizi unayoacha nyumbani.

Maana kama wote ni wafanyakazi na watoto wanasoma, huwa wanabana mchana, na usiku kukuridhisha ndio meza inapendeza.

Rudi wakupe tena utetezi mwingine, huu umefeli.
 
Hapana. Asilimia kubwa ya wanawake hapa Tanzania wanahudumia nyumba zao kwa mishahara yao wenyewe. Wanaume wakiombwa hela ya matumizi masimango, matusi mara mke anaambia huna kazi? Mikono yako si ipo? Katafute hela. Sasa kauli kama hizo zinafanya mwanamke akatafute hela ananunua viti nyumbani mwake.
 
Watu wengi wanajua wakioa wanawake wenye kazi wanapunguza gharama wakati kiukweli hao ndio wanawake wenye gharama
#usioe single maza wala mwanamke aliyeajiriwa.
 
Back
Top Bottom