Ni kero gani hupendi mwanamke aifanye afikapo gheto

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
katika hali isiyo ya kawaida , hawa wanawake sijui kichwani mwao wanawaza nini wanapofika maghetoni

Yani mimi kweli kabisa sipendi haya mapicha picha yao

1: Kuanza kujibebisha, kusimama mlangoni na kujikalisha kweye makochi hovyo hovyo badala ya kukaa kwa kitanda.

2: sitaki mwanamke aje gheto alafu anze kufua mashuka , asugue sufuria pamoja na kukunja nguo na kupangilia gheto mpaka mwanaume unaonekana umeoa kumbe hakuna kitu

3: Kupiga story na majirani zangu na kufanyia shughuli zangu nje kama kuosha vyombo.

4: Nakerekwa mwanamke afike gheto alafu aanze kujifunga khanga kama maza hausiiii yani na boeka mno

5: Nakerwa sana na mwanamke afike gheto alafu anze kufungua madirisha na kukunja mapazia

6: Nachukia mwanamke afike gheto alafu aanze kuomba hela ya kupika huku akiniuliza napenda anipikie nini nakerwa sana mimi

NISHAONGEA SANA NAONEKANA MKOROFI MNO ILA HAWASIKII KABISA

Je, nyie hampendi mapichapicha gani kutoka kwa hawa viumbe pindi muwaitapo gheto.
 
Bora wewe. Ila no 4 hapo! We ndo unafungwa kanga?
Majinga hayajaanza utapeli mara bebi,honey,dear,swili, ......... Huku linawaailiana na mwanaume mwingine,likitoka hapo linaenda kukunjwa miguu tena. Jamani!!!!

- Eti mi leo nakunywa wine. Umeshanichukulia!! Mara lete nifate mwenyewe. Badara ya wine linakuja na chupa ya K-Vant. Cha ajabu ni nini hapa ujue: chenji hakupi. Dadeki

- Mkianza gemu lenu utasikia na mi sijishughulishi. Acha. Kwani unadhani wanaume wana shida na shughuli zako?

-Wakumbushe kupiga miswaki. Wengine wakija unatamani iwepo hata mechi ya marudio kwenye TV.

-Maswali mengi kwa mambo yasiyowahusu. Hiki Sh ngapi ! Hadi simu jamani!!!

- Wawe wanapita barabara kuu,siyo vichocholoni na kuruka mitalo kama vibaka. Kama wameolewa wasubiri atakachopata mme. Manispaa haijawapa kazi ya kukusanya mapato.

-Mambo ya nyama choma,chips mayai, mara ugali. Aliewambia mnaenda restaurant ni nani? Mmekuta mlenda,huo huo. Hamjalidhia,gongweni mtakula mtaa wa pili. Si na kwenyewe mnaenda? Mkiwatembelea wanaume 3 kwa siku,vyakula hivyo mnaweka wapi?

- Mambo ya kufungua mlango na kujikalisha kihasara hasara eti majilani wakuone. Mnakela.
Umekuja kutoa huduma tuuu. Ukilidhiwa,majirani watakuona.

Mengine na nyie jazieni
 
mimi sipendi avue nguo zote yeye ,inaleta raha wakati ukimvua ww mwanamme
 
Mkuu mimi na kerwa ile demu anakuja anavaa tisheti zangu, yani anazifanya huku mbele kwenye kifua zinanyanyuka namna hii... Alafu ukimweleza ndo kwanza anaona humpendi

Mbaya kabisa ukijipindua unakuta kachukua bukta yangu kavaa

Sijui wapoje hawa viumbe alafu kuondoka sasa yani hana habari kabisa anakua kama ndiyo anahamia vile utashangaa anafua kimtandio chake alafu anaanika nje anakuambia kakikauka ni mwekee kabatini na kereka kukaa na mavitu ya mwanamke gheto kwangu ilihali siyo mke ni demu tuu.
 
Back
Top Bottom