Hela ya kujikimu kwa walimu wapya

Habari wakuu, nauliza kiasi gani kinatolewa kwa ajili ya fedha ya kujikimu kwa walimu wapya maana nataka kujua wale walio na taarifa yake ili tugundue kama kuna upigaji unaoendelea hasa halmashauri.
Hata ukijua utafanya Nini? Wewe ajira mpya unaanza kuwa na hofu ya kupigwa? Walimu huwa hawahoji Sana huenda wewe ukawa mnoko Sana.
 
Mwaka jana ajira mpya waraka ulikuja na maelezo yafuatayo,
Chet atalipwa 80000*7=
Diploma na degree atalipwa 130000*7=
Pesa ya nauli ilikuwa sawa kwa wote.
Sijui mwaka huu utaratibu utakuwaje
 
Back
Top Bottom