KERO Hela ya internship tunayopewa sio sahihi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hiyo ianze kwanzia ngazi ya uraisi , kipindi cha magufuli mbona watu walipa kazi?
 
Huo muundo mpya bado haujaanza kutumika hata kwa waliopo kazini sasa na ndio wanalalamika hasa Baraza la wauguzi na wakunga

Kingine Kozi yenu ni mpya hata muundo wake wa zamani haupo nahisi ndio tatizo linapoanzia japo sina uhakika sana mkuu wangu

Interns malipo yenu huwa yanakuwa calculated toka kwenye Basic salary ya Mwajiriwa ndio maana unaona hao Pharmacy na wengine malipo yao yanajulikana kabisa yapo hivi na hivi
 
Hayo mapendekezo nani aliyatoa???


Wauguzi wote watahamia LISHE.


COs wote watahamia CLINICAL NUTRITION.

Hakuna mtu anapenda NIGHT SHIFTS na usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…