KERO Hela ya internship tunayopewa sio sahihi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Usipende kufuatilia mishahara posho za watu wengine, shukuru umepata hiyo laki 6 ya internship, wengine tulianza na internship za kulipwa takehome ya 328,000. Ila kwa kuwa tulikua tunajua tulipokuwa tunaelekea tulikomaa na tulikuwa tumesoma miaka minne engineering.
BTW kusoma miaka minne sio kitu special as long as uliona unauwezo wa kusoma miaka hiyo
 
Wengine tunalipwa laki mbili kwa mwezi tu. Seran kajisemea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…