A
Sheria uku wanaokota mpaka laki.. ila watu🤣Pole Sana, Kuna watu wanalipwa laki tano, wengine ni jobless hata internship wameshakosa. Shukuru hata kwa hicho.
Laki 6 ni pesa ya kushukuru kisa wengine ni jobless????Pole Sana, Kuna watu wanalipwa laki tano, wengine ni jobless hata internship wameshakosa. Shukuru hata kwa hicho.
Ngoja wengine tukae kimya!Laki 6 ni pesa ya kushukuru kisa wengine ni jobless????
Ulitumwa ukasome miaka minne?Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini?
Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in Pharmacy miaka 4 wanapoenda internsship walipwe tofauti na sisi,,, na muundo mpya upo tangu 2023 kwanini hautumiki kwa sisi kada mpya za afya ??
Ndivyo viongozi hujibu pale wanapohojiwa kwa uonzo wanaoufanyaNgoja wengine tukae kimya!
😂😂😂 hali sio hali mtaani jmn..Ndivyo viongozi hujibu pale wanapohojiwa kwa uonzo wanaoufanya
Siamini kwamba ni kwa wote , hili neno la hali si hali mtaan , nimekaa kujifajiri tu , hali ni mbaya mfukoni kwa mtu binafsi tu😂😂😂 hali sio hali mtaani jmn..
Lakini wakilalamika wengi… ina maana ni janga la wengi! Haimaanishi kuwa ni wote!Siamini kwamba ni kwa wote , hili neno la hali si hali mtaan , nimekaa kujifajiri tu , hali ni mbaya mfukoni kwa mtu binafsi tu
Si kila anae lalamika ni kweli kuwa hali ni mbayaLakini wakilalamika wengi… ina maana ni janga la wengi! Haimaanishi kuwa ni wote!
Ni kweli kabisa!Si kila anae lalamika ni kweli kuwa hali ni mbaya
Si kweliNi kweli kabisa!
Jamani leo umekunywa nn asubuhi hii😂Si kweli
Kisiwe kigezo cha yeye kutopata stahiki yakePole Sana, Kuna watu wanalipwa laki tano, wengine ni jobless hata internship wameshakosa. Shukuru hata kwa hicho.
Wewe nishakuambia kitaani sio kugumu kwa woteJamani leo umekunywa nn asubuhi hii😂
Si nimeshakusapoti babaa au🙄Wewe nishakuambia kitaani sio kugumu kwa wote
HakunaSi nimeshakusapoti babaa au🙄