Hekima ya Mungu kutokuwa public

Hekima ya Mungu kutokuwa public

Kwanini una kunusha na una hukumu uwepo wa MUNGU na utukufu wake, kwa kupitia kitabu kimoja ambacho ni Bibble ??

Je, uliwahi kusoma vitabu vingine na ukajua ukweli upo vipi ??

Uwepo wa Mungu hawaudis kilocal local kama ufanyavyo mkuu, Kasome vitabu vyote vitano ndipo uje na hoja za msingi.

Kitabu ulichosoma (chapter ya Genesis) kina walakini mkubwa coz maneno ya MUNGU haya ongezwi wala kupunguzwa ila kwenye hicho kitabu ulichosomwa kila mwaka kinaboreshwa Yan kama katiba tu.
Bora ata biblia kidgo hivi vingne vina ujinga wa kitoto kabisa
 
Back
Top Bottom