Hekalu la Spika wa Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hekalu la Spika wa Tz

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mchochezi, Mar 10, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Hii kitu nimeitoa blog ya michuzi, Nyumba ya serikali ambayo atakuwa anaishi spika aliyeko madarakani. Imejengwa kwa Tsh. 1.5 billion ipo Dodoma.

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Alafu wanawadanganya Madaktari kwamba hawana pesa za kununua madawa, vitanda, gloves, etc.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Usanii ndio fani yetu. What else do we know?
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyu ni mwana JF wa wapi jamani mbona mnatupunguzia hadhi hivi?? Hilo jumba kwani halina hata picha yake ili tukalinganishe na thamani tunayoambiwa kutoka kwenye kodi zetu huku tukitazama tija anayotuletea huyo mkaaji mwenyewe??

   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,529
  Trophy Points: 280
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Haifikii ya Mwavita Makamba
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,529
  Trophy Points: 280
  offcourse hata nusu haifiki
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
 9. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Namaanisha nyumba ya spika lazima iendane na kiwango/cheo chake.
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tanzania Bwana Somo la Vipao mbele viongozi walioko madarakani wamepata F
  Maji Chumvi Chumvi Maji
   
 11. m

  muhinda JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 337
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  JF sasa mmezidi, sasa mnataka Spika aishi nyumba ya namna gani? mbona hiyo nyumba ya kawaida sana. ebu leteni thread zenye mashiko wakuu, sio kulalamika tu kila kukicha
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni nyumba ya kawaida tu hiyo acheni mambo yenu. Mnapimaje thamani ya Asset kama hiyo ambayo inakaa miaka 40?

  Haya tuseme Spika angekaa nyumba ya kupanga yenye hadhi yake kwa mwezi 3,000,000 * 12 = 36,000,000 mwaka ndio mlivyotaka nyie tulipe?
   
 13. B

  Barbaric Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi naona ni sawa, kama spika angekuwa ni 6, coz aliendesha bunge kwa manufaa. hata ivo naamini ma-njiwa ataishi coz ameshaanza kutengeneza njia kwa kutetea posho.
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,824
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Thamani yake ikizidi sana ni mil 300...
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  huyu mama si alisema hana nyumba au alikuwa anataka kusema nini
   
 16. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,351
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  kama ni kweli inauma kwa sababu hizi ni kodi zetu. na kwanini wajenge nyumba ya gharama hivyo huu ni ukoloni. bora watutawale wazungu kuliko hawa wabinafsi. tuna matatizo shule hazina madawati, walimu hawajalipwa, ,madaktari, no loans wapo. mimi naona kuna haja ya watawala kupimwa akili sidhani kama ziko sawa. ni watawala sio viongozi.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa hilo ndio hekalu? mijitu mingine sijui ikoje? si kajumba ka kawaida tu haka, hakafikii hata kaburi la Maalim.
  [​IMG]
   
 18. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  I don't see the connection....that is what they term as ..... Mwamvita siyo Public figure...after all we both know nothing kuhusiana na huyu binti.....kama tunajua ni kidogo

  What she has... hakijatokana na pesa ya umma....AMEITIKIA WITO WA RAIS MSTAFU WA AWAMU YA PILI ALIPOTEMBELEA MKOA WA KILIMANJARO
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nyumba binafsi au Serikali?
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Uzuri wa sredi hizi ni kwamba unapata kujua how great thinker we are..................
   
Loading...