JF sasa mmezidi, sasa mnataka Spika aishi nyumba ya namna gani? Mbona hiyo nyumba ya kawaida sana. Ebu leteni thread zenye mashiko wakuu, sio kulalamika tu kila kukicha
Mwisho mtasema Rais akakakae nyumba ya kupanga Magomeni.
Haifikii ya Mwavita Makamba
Hadhi! hadhi gani? Spika ni mtu wa kawaida tu! Nyumba ya kifahari haimfanyi awe na akili zaidi! Cheo au hadhi uiitavyo wewe iko kwenye kichwa na sio mali. Kuna watu wanakaa mbavu za mbwa na wana akili zenye hadhi kuliko ufikiriavyo!Ni nyumba ya kawaida tu hiyo acheni mambo yenu. Mnapimaje thamani ya Asset kama hiyo ambayo inakaa miaka 40?
Haya tuseme Spika angekaa nyumba ya kupanga yenye hadhi yake kwa mwezi 3,000,000 * 12 = 36,000,000 mwaka ndio mlivyotaka nyie tulipe?
.......................................
View attachment 48976View attachment 48977View attachment 48978
Ni nyumba ya kawaida tu hiyo acheni mambo yenu. Mnapimaje thamani ya Asset kama hiyo ambayo inakaa miaka 40?
Haya tuseme Spika angekaa nyumba ya kupanga yenye hadhi yake kwa mwezi 3,000,000 * 12 = 36,000,000 mwaka ndio mlivyotaka nyie tulipe?
Hatakaa miezi 6 lazima laana na machoz yetu watz avunjike miguu