kaangwa
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 644
- 193
Duh, ama kweli serikali haina pesa.Hii kitu nimeitoa blog ya michuzi, Nyumba ya serikali ambayo atakuwa anaishi spika aliyeko madarakani. Imejengwa kwa Tsh. 1.5 billion ipo Dodoma.
![]()

huyu mama si alisema hana nyumba au alikuwa anataka kusema nini
Haifikii ya Mwavita Makamba