Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,580
- 13,045
Salamu wakuu.
Ndani ya siku hizi mbili tatu nimekuwa na ukimya usio wa kawaida ndani ya jukwaa hili na si kawaida yangu kupotea kwa muda mrefu kiasi hicho.
Ukweli ni kwamba nilikumbwa na tukio la uvamizi usiku wa XMAS tarehe 25 December baada ya kuvamiwa na vibaka, majambalika, wakulungwa wa jiji na wazee wa ngwasuma mishale ya saa 7 usiku.
Hakuna mazara makubwa niliyapa kiafya zaidi ya kuchukuliwa kiasi cha pesa kadhaa pamoja na simu inayonipatia kiburi na jeuri ya kuzurura humu jukwaani masaa 20 na ma4.
Nawasilisha.